Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Missing you more babe JBebe J...u are missed 😔
Umepotelea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missing you more babe JBebe J...u are missed 😔
Nipo hata sijapotea, majukumu tuMissing you more babe J
Umepotelea wapi?
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23]Wewe ndio umepita hapa maeneo ya juhudi umebakiwa kwenye bodaboda [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha izo wewe...!!!Kuweni makini tu tusije anzisha uzi zinazoanza "JAMANI MSAADA..."[emoji23]
au "ANAEMJUA MGANGA NGULI WA KUROGA WEKA HAPA MAWASILIANO YAKE,KUNA PIMBI NATAKA IKOMESHA"[emoji23][emoji23]
mi natoa tahadhari tu.. bila kusahau na "KULA KIMASIHARA KULIVYO..."
Ooh!usiadimike sana bhana....league zinaanza soonNipo hata sijapotea, majukumu tu
Sawa, kuna kitu nataka nikwambie, ila chembaOoh!usiadimike sana bhana....league zinaanza soon
He he! Hizo mi naacha ila we shika zile then kitafahamika tu huko mbele..Acha izo wewe...!!!
Jr[emoji769]
Am all ears bebeSawa, kuna kitu nataka nikwambie, ila chemba
Tukutane travela chalinze au nyuma ya kituo cha polisi chalinzeIts so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]unatafuta wapiga ulabu wenzio tu hapa[emoji16] itakua leo upo bored