JF Kibaha wing: Tufahamiane na kutambuana hapa

JF Kibaha wing: Tufahamiane na kutambuana hapa

Kuweni makini tu tusije anzisha uzi zinazoanza "JAMANI MSAADA..."[emoji23]
au "ANAEMJUA MGANGA NGULI WA KUROGA WEKA HAPA MAWASILIANO YAKE,KUNA PIMBI NATAKA IKOMESHA"[emoji23][emoji23]

mi natoa tahadhari tu.. bila kusahau na "KULA KIMASIHARA KULIVYO..."
Acha izo wewe...!!!

Jr[emoji769]
 
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.

Jr[emoji769]
Tukutane travela chalinze au nyuma ya kituo cha polisi chalinze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom