JF Kumbukizi: Kikwete alivyomtengua Uwaziri Anna Tibaijuka sakata la Escrow

JF Kumbukizi: Kikwete alivyomtengua Uwaziri Anna Tibaijuka sakata la Escrow

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, alipomtengua nafasi ya uwaziri Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Anna Tibaijuka baada ya sakata la Escrow.

 
1780542535184.png
 
Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, alipomtengua nafasi ya uwaziri Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Anna Tibaijuka baada ya sakata la Escrow.

View attachment 3591035
hutakuja kusikia majanga kama hayo kwasasa, kwasasa ni kulindana, kuheshimiana na kusifiana kwa itikadi..Yote kwa Yote.MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati ili kuwapa mamlaka wananchi wenye nchi yao kuwawajibisha viongozi.sio kazi rahisi.
 
Alikuwa na uzuri wake kwa kuruhusu mijadala huru.....
Tatizo alikuwa weak kwenye kuisimamia serikali aliyeiunda yeye mwenyewe.

Laiti Kikwete kwa personality yake, angepata pacha Waziri kuu mfuatiliaji, committed, na akampa nguvu,
Nchi ingekuwa imesogea sana kufikia leo.
Kwasab Rais ndiye anayeamua taswira ya Waziri wake mkuu ionekaneje mbele ya serikali na jamii.
Rais akimpa 'Go ahead' Waziri wake mkuu kwa kumaanisha....huyo Pm lazima aogopwe na haheshimike serikalini na ndani ya jamii....rejea ya Sokoine japo na mimi huwa nasimuliwa.
 
Master alitaka kunywa maji ila akakumbuka kitu 😊
 
Back
Top Bottom