Alikuwa na uzuri wake kwa kuruhusu mijadala huru.....
Tatizo alikuwa weak kwenye kuisimamia serikali aliyeiunda yeye mwenyewe.
Laiti Kikwete kwa personality yake, angepata pacha Waziri kuu mfuatiliaji, committed, na akampa nguvu,
Nchi ingekuwa imesogea sana kufikia leo.
Kwasab Rais ndiye anayeamua taswira ya Waziri wake mkuu ionekaneje mbele ya serikali na jamii.
Rais akimpa 'Go ahead' Waziri wake mkuu kwa kumaanisha....huyo Pm lazima aogopwe na haheshimike serikalini na ndani ya jamii....rejea ya Sokoine japo na mimi huwa nasimuliwa.