JF Kwa kidengereko nyumbani pa wenye kufikiri Kwa undani a.k.a Akili nyingi!

JF Kwa kidengereko nyumbani pa wenye kufikiri Kwa undani a.k.a Akili nyingi!

shibela

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
3,832
Reaction score
13,664
Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo!
Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake!

Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!!
Shikamoo Jamii Forums
 
1743812779618.jpg
 
Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo!
Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake!

Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!!
Shikamoo Jamii Forum
Shikamoo braza Maxence Melo
Nadhani kwenye suala la Mungu hujawaelewa great thinkers wa jf... Hawa wanaulizia uwepo wa miungu tuliyoko nayo kwa sasa kama ipo au kama inajiweza.

Fikiria leo hii wanadamu wanafikiri vyema kuliko hii miungu ya vitabuni. Huoni tulipigwa na kitu kizito?
 
Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo!
Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake!

Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!!
Shikamoo Jamii Forum
Shikamoo braza Maxence Melo
The home of grit sinkers.
 
Mungu Kwa ujumla wake hawataki kusikia hicho kitu awe kaletwa na mwarabu au mmisionari!
Wenye ufahamu huru kama mimi hatupingi uwepo wa miungu bali tunaacha nafasi wazi ili siku ikithibitika kunae Mungu anaekidhi vigezo achukue hiyo nafasi
 
Mimi ninacho furahia
Yalikuwa yanajadiliwa JF
Kwa kujificha na hofu

Sasa yamefika mitandao mingine
Hasa Facebook/Twitter/Instagram huko kumewaka

Sasa watu wanajadili mpaka kwenye
Traditional mainstream media.

Watu kama Mrindoko, Mahonda, Mwandambo.

Mwisho jamii itakubali tu
Sio kila mtu aamini, walicho aminishwa.
 
Kila mtu ana haki ya kuchagua upande anaoona ni sahihi kwake pasipo kukashfu upande mwingine.
 
Back
Top Bottom