Nadhani kwenye suala la Mungu hujawaelewa great thinkers wa jf... Hawa wanaulizia uwepo wa miungu tuliyoko nayo kwa sasa kama ipo au kama inajiweza.Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo!
Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake!
Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!!
Shikamoo Jamii Forum
Shikamoo braza Maxence Melo
Zako zipiKunamaanisha za kuambiwa umechanganya na zako.
Ulizozaliwa nazo.Zako zipi
The home of grit sinkers.Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo!
Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake!
Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!!
Shikamoo Jamii Forum
Shikamoo braza Maxence Melo
Kila mtu ni mpinga Mungu sababu unamkubali Mungu wako kisha unampinga wa mwenzako...Kupinga uwepo wa Mungu hakumaanishi una akili nyingi,
Kunamaanisha za kuambiwa umechanganya na zako.
Wenye ufahamu huru kama mimi hatupingi uwepo wa miungu bali tunaacha nafasi wazi ili siku ikithibitika kunae Mungu anaekidhi vigezo achukue hiyo nafasiMungu Kwa ujumla wake hawataki kusikia hicho kitu awe kaletwa na mwarabu au mmisionari!