JF live Chat is up now!

Imebidi ning'oe batan ya Caps Lock kwenye kiibodi yangu, no chance for accidental CAPPING....jamaa kazuia kutumia CAPS.....

Aisee Roya unatafuta BAN kwenye chatruum...watch your capping!
 
Aisee Roya unatafuta BAN kwenye chatruum...watch your capping!

orait asprin.....hivi hata majina ya watu huturuhusiwi kutumia caps? au ngoja nigugo maana ya caps....
 
Babu download Java kwenye PC yako.
 
orait asprin.....hivi hata majina ya watu huturuhusiwi kutumia caps? au ngoja nigugo maana ya caps....
CAPS is strictly prohibited in chat ruum....you have been notified!
Babu download Java kwenye PC yako.

We mshikiz....JAVA imejaa tele hapa lakini holaaaaaaaaaaaa!
 
CAPS is strictly prohibited in chat ruum....you have been notified!

We mshikiz....JAVA imejaa tele hapa lakini holaaaaaaaaaaaa!
Imwagie keyboard matone ya VALUU ooppss kumbe wamezuia CAPS dah nimeishasahau
 
Imebidi ning'oe batan ya Caps Lock kwenye kiibodi yangu, no chance for accidental CAPPING....jamaa kazuia kutumia CAPS.....
Mi sioni connection ya CAPs na BAN, nipe muongozo muheshimiwa kabla cjala ban!
 
Hivi ni kitu gani ukifanya chatrum unapigwa BAN?????
 
thanx Max naona mada zitaanza kukosa wachangia kama ilivyokuwa :coffee::clap2:
 
Hapo chacha.. Ivi unaweza Chat na member yoyote hata kama hujamuadd? Nipe muongozo nipo Via mobile!
Kaka bado nacheki hapa, maana kwanza haungii hivi hivi tu lazima kwanza udownload JAVA kwanza then mengineyo yanafuata
 
Hebu niambie hatua inayofata baada ya hapa......

Wee ndugu yangu, tukachat kule upande wa pili. Huku naona kuna mkakati wa kutubania ISC members......:coffee:
 
Aisee mwalimu wangu Gaijin keshajua?

Naomba mumwambieni mkimwona. Hatimaye kilio chetu kimesikilizwa kabla hatujaandamana kama Cairo.

Maxence chagua mjukuu wangu mmoja umpendaye nikukabidhi:clap2::clap2::clap2:

Nimeiona lakini hii habari ya kuwa unaweza kutumia jina lolote haijanikalia sawa. Wanafunzi wangu wanaweza kudanganywa, mtu akaijiita Gaijin kisha akaniharibia wanafunzi.

Hapo mkuu naona pafanyiwe marekebisho fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…