queenkasanda
Member
- May 28, 2014
- 27
- 4
Karibu jf, unakunywa nini?
^^
Karibu sana! Kuna akina Miss... Queen... Mzurimie... n.k tuna bahati sana hatuna wanawake wasio warembo!
Karibu sana.
^^
ahsante juice yatosha
ahsante juice yatosha
Mhhh we sio mzoefu kweli..enewei karibu
jamani badiebey mi mgeni
ahsante kwa ukaribisho
karibu..ila kaa mbali na hubby wangu..
Una asili ya Zambia?
Karibu...feel at home
kwanini mkuu umeuliza hivyo
mix waonekana ni mkarimu eeeehYa mango, orange, guava? Au mix
I have a friend from Zambia somebody kasanda