Jf maalum kwa ajili ya kutakiana heri na baraka kutwa nzima!

Jf maalum kwa ajili ya kutakiana heri na baraka kutwa nzima!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Salam wakuu kwa wale wagonjwa walioko hospital...mwenyezi mungu awaponye kwa haraka wenye shida na mitihani mbali mbali maombi yetu sote kwa mungu ukimuomba kwa dhati atakupa uponyaji kwa haraka sana...Uzi huu maalum kwa ajili ya kutakiana heri na baraka kutwa nzima ya leo...naanza mimi kuwatakia heri na baraka familia yangu na member wenzangu wote wa Jf pamoja na, watanzania wenzetu mbali mbali katika shughuri zao mbali mbali wafanikiwe na kubarikiwa awape nguvu na baraka tele Ameen insha'allah NAWASILISHA..kwa unyenyekevu mkubwa mungu awabariki sana na atubariki sote kwa pamoja wana jukwaa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwenyezi atumwagie neema zake kwa siku ya leo tuwe mamilionea wakuu.
 
Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima wadau.
 
Back
Top Bottom