Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Salam wakuu kwa wale wagonjwa walioko hospital...mwenyezi mungu awaponye kwa haraka wenye shida na mitihani mbali mbali maombi yetu sote kwa mungu ukimuomba kwa dhati atakupa uponyaji kwa haraka sana...Uzi huu maalum kwa ajili ya kutakiana heri na baraka kutwa nzima ya leo...naanza mimi kuwatakia heri na baraka familia yangu na member wenzangu wote wa Jf pamoja na, watanzania wenzetu mbali mbali katika shughuri zao mbali mbali wafanikiwe na kubarikiwa awape nguvu na baraka tele Ameen insha'allah NAWASILISHA..kwa unyenyekevu mkubwa mungu awabariki sana na atubariki sote kwa pamoja wana jukwaa.