nenda hospital mkuu hapa hakuna consultation ya bure.jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
View attachment 3524567
Hapa umemaliza kila kitu mkuu, njia mbadala nyigine ni skin lightening unabadili rangi ya ngozi yako ili ifanane na yale mabaka ya vitiligo ziko product maalum (sio mkorogo). Lakini sio njia salama sana kwa wakazi wa kusini mwa jangwa la sahara na jua la utosiVitiligo.
Ni ugonjwa wa ngoji ambapo kinga yako mwenyewe ya mwili inaharibu melanin (kimakosa), pigment muhimu unayoleta rangi ya mwili.
Huanza hivyo hivyo taratibu na kuenea.
Maeneo yanayopendelea zaidi kutokea ni sehemu zinazopigwa sana na jua, hivyo uso na sehemu za kichwa ni namba 1, mikono na sehemu za shingo, ikifuatiwa na viungo vyengine vya mwili.
Matibabu ya vitiligo hakuna, ila kuna dawa huwa zinasaidia kupunguza athari na muda mwengine hata kutibu kabisa.. tatizo ni upatikanaji mgumu na gharama kubwa!
Vitiligojamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
View attachment 3524567
Kipindii BALOZI POLE POLE AKIWA CUBA ALIFANIKISHA ALIWALETA WATAALAMU NAKUMBUKA WALIFANYA JOINT NA HOSPITALI ZA TANZANIA..jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
View attachment 3524567
😆😁😀Duuuh aiseee ngoja waje madokta halisi sio sisi wengine akina hayaland