JF mahali wakutanapo Maprofesa na mambumbu kubadilishana mada na hoja mbalimbali

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Laiti tungekuwa tunatumia majina yetu ya kiukweli nadhani JF isingekuwa tamu kama ilivyo sasa.
Kuna maprofesa, wasomi mbalimbali, wasio soma na watu wa kila aina. Lakini wote tuna haki sawa ya kuchangia chochote na kukosolewa.
Yaani humu safi sana unaweza ukajikuta mtu kama Malaria SUgu ni mkuu wako wa idara hapo ofisini kwako, au Nazjaz ndio mmiliki wa kampuni yenu.
Long live JAMII FORUMS

Mie huwa namuhisi boss wangu ndiye Malaria Sugu, humwambii kitu kuhusu CCM hata mgao wa umeme yeye hudhani umesababishwa na maandamano ya CDM tu.

Mie huwa namuhisi boss wangu ndiye Malaria Sugu, humwambii kitu kuhusu CCM hata mgao wa umeme yeye hudhani umesababishwa na maandamano ya CDM tu.

hahhaha hahahahah hahaahhahhahahahah yaani mabosi wetu bwana hovyo kabisa

mawazo mgando haya mbona wengine ndo majina yetu vifisadi vidogo ndo mnaficha majina yenu mnaogopwa kumulikwa

Dah! Kweli bujibuji nimekukubali!

Malaria sugu ni kiongozi serikalini tena almaaeuf!!

Kutowepo kwa jina halisi inatupa uwanja mkubwa wa kuwa wawazi

Malaria sugu ni kiongozi serikalini tena almaaeuf!!

viongozi wetu du........
Sisemi sana, nsije nikaitwa mdini, mchadema, mkabila, mlugaluga, mvulana, mlajana, mlakesho, mlawiti,mlambia na mengine meeeengi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…