Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300

Malaria sugu ni kiongozi serikalini tena almaaeuf!!

Hebu fikiria,labda Ms ndio Makamba. Huwezi kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Malaria sugu ni kiongozi serikalini tena almaaeuf!!

wengine wamepata maadui humuhumu!

Hadi JK yumo humu anachambua facts za ukweli
Nimegundua humu kuna baba mzazi wangu.anapenda chama cha mafisadi kinoma.rafiki yake ni mbunge fulan hv wa gamba.angejua jina langu kamili ni soo wakuu.kwan mi mwenyewe namjua ni kilaza sana.

jana jioni aliniuzia mihogo ya futari
Mfano halisi ni mimi...! Elimu yangu ni la saba la zamani. Nikiwa hapa najiona kama mhitimu wa chuo kikuu jamani. Masikini mimi Mwendabure...!
Mfu humzika mfu mwenzake.Dah! Kweli bujibuji nimekukubali!
Bosi kanogewa na JFHeh nakwambia kama tungekuwa tunatumia ID za kweli pasingetosha! A couple of days ago naingia ofcn kwa boss nkakuta yupo busy na kazi kucheck screen vizuri yupo JF. Hata cjui anatumia ID gani humu ndani!!
Jf imenipatia mke msomi, mi niliishia form six lakini mke wangu ana masters.