Heh nakwambia kama tungekuwa tunatumia ID za kweli pasingetosha! A couple of days ago naingia ofcn kwa boss nkakuta yupo busy na kazi kucheck screen vizuri yupo JF. Hata cjui anatumia ID gani humu ndani!!
kila nilisoma comment za nyani ngabu kupitia threads zinazo muhusu kibonde.nahisi yeye ndo kibonde mwenywe.lolLaiti tungekuwa tunatumia majina yetu ya kiukweli nadhani JF isingekuwa tamu kama ilivyo sasa.
Kuna maprofesa, wasomi mbalimbali, wasio soma na watu wa kila aina. Lakini wote tuna haki sawa ya kuchangia chochote na kukosolewa.
Yaani humu safi sana unaweza ukajikuta mtu kama Malaria SUgu ni mkuu wako wa idara hapo ofisini kwako, au Nazjaz ndio mmiliki wa kampuni yenu.
Long live JAMII FORUMS

Aaah ha ha ha ha ha.. Nyie watu mnanichekesha sana leo, kwa kwei JF ni tamu thana. yaani mtu unafunguka without fear or favour

kila nilisoma comment za nyani ngabu kupitia threads zinazo muhusu kibonde.nahisi yeye ndo kibonde mwenywe.lol

Watanzania kumbe tunaogopa watu kutambua udhaifu wetu, kamwe hatutijifunza. Mimi natumia jina langu kwakuwa napenda watu wajue strength na weakness zangu.

Watanzania kumbe tunaogopa watu kutambua udhaifu wetu, kamwe hatutijifunza. Mimi natumia jina langu kwakuwa napenda watu wajue strength na weakness zangu.

Kama ukimsikiliza vzur kibonde huwezi kumfananisha na NN,kibonde is too low,

utgombana na usiyemjua?wengine wamepata maadui humuhumu!

unless ur SALIM na si sirlim,acha uwongo wewe

wewe ni Salimu au Sirlimu? Acha udanganyifu
Halafu hao mambumbu ndiyo akina nani? Kila mtu ni intelligent provided amepimwa kwenye scale moja na wale anaofanana nao. You don't compare std7 na professor halafu ukasema std7 mbumbu kwa professor. Linganisha prof kwa prof, std 7 kwa std7 etc. sasa mbumbumbu watakuwa akina nani? wamefanananaje? KALAGABAHOLaiti tungekuwa tunatumia majina yetu ya kiukweli nadhani JF isingekuwa tamu kama ilivyo sasa.
Kuna maprofesa, wasomi mbalimbali, wasio soma na watu wa kila aina. Lakini wote tuna haki sawa ya kuchangia chochote na kukosolewa.
Yaani humu safi sana unaweza ukajikuta mtu kama Malaria SUgu ni mkuu wako wa idara hapo ofisini kwako, au Nazjaz ndio mmiliki wa kampuni yenu.
Long live JAMII FORUMS
Pia hata wale wa Chama Cha Magamba tunapata wasaa wa kulumbana nao humu nafasi ambayo hata ukiwa M NEC huwezi kuipata zaidi ya kupiga makofi na kusema HOJA IMEPITAAAA hata PPF wasingeumbuka kama sio JFLaiti tungekuwa tunatumia majina yetu ya kiukweli nadhani JF isingekuwa tamu kama ilivyo sasa.
Kuna maprofesa, wasomi mbalimbali, wasio soma na watu wa kila aina. Lakini wote tuna haki sawa ya kuchangia chochote na kukosolewa.
Yaani humu safi sana unaweza ukajikuta mtu kama Malaria SUgu ni mkuu wako wa idara hapo ofisini kwako, au Nazjaz ndio mmiliki wa kampuni yenu.
Long live JAMII FORUMS

Halafu hao mambumbu ndiyo akina nani? Kila mtu ni intelligent provided amepimwa kwenye scale moja na wale anaofanana nao. You don't compare std7 na professor halafu ukasema std7 mbumbu kwa professor. Linganisha prof kwa prof, std 7 kwa std7 etc. sasa mbumbumbu watakuwa akina nani? wamefanananaje? KALAGABAHO
halafu Faiza Foxy unajua anafanya kazi gani??? Otea