Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Habari ndugu wadau!
Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua.
Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi
1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini?
2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali gani kutoka chini (kwanini).
3. Ndege inayoruka masafa ya afrika inatakiwa kutembea umbali gani kutoka chini.
4. Ndege inaruka kutoka bara moja hadi jingine inatakiwa kutembea umbali gani kutoka chini.
5. Kwanini ndege inayotoka Morocco afrika kwenda South Africa inatumia muda mwingi karibu na ndege inayotoka Tanzania kwenda America na ulaya?
6. Ndege hutambuaje inapopita juu ya kambi ya jeshi au Ikulu?
7. Ndege inaogozwa na marubani wangapi? Mbona huwa kuna viti vitatu mbele? (Rubani kushoto, rubani kulia, rubani nyuma ya rubani)
8. Ni kweli kwamba ndege iliyotoka masafa ikitua kabla haijafungua mlango mtu akiigusa kwa nje akiwa peku peku anapigwa shoti ya umeme?
9. Ni kweli wachuna ngozi walitumia ngozi ile kwenda kutengenezea baadhi ya sehemu za ndege?
10. Hali ya hewa ya ndege ukiwa angani huwa inalingana na nchi mlikotoka au mnakokwenda?
11. Kwanini ndege ikiwa inakaribia kutua au ikiwa inasubiria kutua hali ya hewa husumbua upumuaji hasa ndege za hapa nchini?
12. Kipi husababisha vibration ya ndege ikiwa hewani baadhi ya maeneo?
13. Ndege haiwezi kupigwa radi? Inatahadhali gani kujikinga na radi ikiwa angani?
14. Standard ya speed ya ndege kutembea huwa ni ngapi?
15. Vioo vya mbele huwa vina viper kufuta maji kama gari?
16.......kama kuna swali ongezea wanaojua watusaidie ufafanuzi!
Tuheshimu maoni ya wachangiaji tupingane kwa hoja! karibuni. Mwenzenu Utotoni nilitamani sana mambo ya urubani kuelea angani.
Lakini Mungu akapenda zaidi niwe Fundi umeme na ujenzi nielee kwenye paa za nyumba za watu ili kufanya makazi ya watu kuwa sehemu salama kwa gharama nafuu sana!
Kama unatatizo lolote la kiufundi umeme nyumbani kwako linalokukera na limeshindikana naomba unipigie fundi SAMICO kwa 0711756341.
Kwa wale mnaojenga sasa, tunasuka na kurekebisha wiring kuwa ya kisasa ambayo hairuhusu upotevu wa umeme kabisa!
Bei ni maelewano! Gharama zetu ni hizi hizi za mtaani hata chumba kimoja tunasuka! Tunafika popote Tanzania! Karibu sana 0711756341 SAMICO Tanzania