Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Hapa jamvini?Hapa hapa
kazini mkuu. Jamvini tunafanya kuchungulia tuHapa jamvini?
Kuchungulia lazima... Akili inalala usipochungulia hapakazini mkuu. Jamvini tunafanya kuchungulia tu
Kwamba wewe unaishi maisha gan expensive?Unamwambia nani maisha yako cheap ayo!?
Kwamba wewe unaishi maisha gan expensive?
Amekuuliza swali lakini....Ndo maanake,...
Amekuuliza swali lakini....
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Utaota busha kwa kula madafuNipo aga khan hapa nakula dafu kabla sijaanza kupambana na foleni
Utaota busha kwa kula madafu