JF Mchana Kutwa.

JF Mchana Kutwa.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Wengi tupo tunakua na mahangaiko ya kusaka pesa wakati huu wa mchana.

Mimi mida kama hii nakua nimetoka lunch, napata kahawa na kashata au chai ya asali na mdalasini huku nikitafunia na karanga then narudi kazini kuendelea na harakati za kudeal na clients wangu.

Wakati huu wa mchana wewe upo wapi, unafanya nini..?
 
Ni mchana. Nawasiliana na mamy
 

Attachments

  • IMG-20170811-WA0000.jpg
    IMG-20170811-WA0000.jpg
    86.6 KB · Views: 54
Back
Top Bottom