JF Mchana Kutwa.

Sisi wengine bando la bure tunapata lakini kazi hatuna

[emoji56][emoji94][emoji109]with my weather[emoji23][emoji23]
 
Mchana wa leo nakunywa kinywaji bariiidi baada ya kula kitimoto nusu na ndizi nne za kurost.. Hii ni furaha baada ya kumcharaza Arsenal
 
Kwa sababu tunaipenda ccm sana,kila saa tuko humu kuangalia wangapi wamehamia
 
JF USIKU WA MANANE vs JF MCHANA KUTWA

[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Haha
Itapendeza kama usiku wa Leo nitakesha humu JF na boxer
 
Kwa kuwa mimi ni Kobe nilihangaika sana Kula mihogo kwa msambaa ili ndg zangu wasinione,ila namshukuru mungu niliigonga mihogo vizuri kabisa
Nalog off
 
Unadeal na clients JF? Ushenzi mwingine hauna mfano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…