Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann?Mchana wa leo utakua mwingi sana
Pesa hakuna aiseeKwann?
Pole sana chief, kawaida lkn.Pesa hakuna aisee
Cndyo.. Habari za huko ughaibuni lakiniPole sana chief, kawaida lkn.
Salama kabisa chiefCndyo.. Habari za huko ughaibuni lakini
Huyu si mzee baba J.Zuma?
Huyu si mzee baba J.Zuma?
Unadeal na clients JF? Ushenzi mwingine hauna mfano!Wakuu,
Wengi tupo tunakua na mahangaiko ya kusaka pesa wakati huu wa mchana.
Mimi mida kama hii nakua nimetoka lunch, napata kahawa na kashata au chai ya asali na mdalasini huku nikitafunia na karanga then narudi kazini kuendelea na harakati za kudeal na clients wangu.
Wakati huu wa mchana wewe upo wapi, unafanya nini..?