JF member leo share weakness yako hapa

JF member leo share weakness yako hapa

Anahuruma mpk ye mwenyewe inamtesa!! Dada unataka niandike nini tena au unataka ban inihusu..😂
Sio yeye Hata mimi pia hunitesa.

😆😆😆nitafurahi blaza nikikusababishia ban
 
Niling'ang'ania kuwa wakwanza baadae wakaniweka wa mwisho nikaona niwe wa katikati.. actually Bado ni blaza wako..😅
Achana na mambo ya actually huko na wewe..

Ndo mana unasumbua sana
 
Sipendi mwanamke avae hereni.....cheni....na shanga.
Akivaa huo uchafu nahisi kinyaa kwelikweli
 
Ha ha! Pole chako.. pole sana..

Ban sipati maana moja ya mods ni tamu yangu..😜
Chizi wewe umejiona usivyo na siri sasa...

Kwani ni tamu yetu jamani..haya kausha sasa na huo utamu wako.

Utapata tu😅😅
 
Dah....kiukweli...Mimi kama Mimi...weakness yangu ni uoga....hakuna kitu kinachoniogopesha kama kulala.....peke yangu ....[emoji2960]
 
Chizi wewe umejiona usivyo na siri sasa...

Kwani ni tamu yetu jamani..haya kausha sasa na huo utamu wako.

Utapata tu😅😅
Wivu tu! Haya dada we endelea kutafutatafuta ila kwangu kaa ukijua una mawifi!!.. na huo uchibonge utapata kweli..🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom