Ohooo Hallelujah...Mungu azidi kukutia nguvu usikwame kusaidia watuAsee kumbe tuko wengi kuna kipindi ninakuwa sina uwezo wa kusaidia hapo inafika wakati in sacrifice resources chanche nilizonazo. Namshukuru mungu huwa ananilipa zaidi na nitoavyo.
Kuna asie kula kila siku ? ππMsosi wee, dagaa twende,mchicha twende...lol
Kwani uzi ulikwambia unabanwa na pumzi
We utapigana au unajua kuuma tu..! Naogopa meno yako tu.. toka ile siku home ulivyonikosasa jino ukaenda kuuma mbao hadi ikakatika unafikiri nitaruhusu nipigane nawe!!..πChangu ndioπ π thubutuuuuu tutapigana
We mumi tulia...π
Mkuu nakumbuka kuna kipnd wakat nasoma, nilipga pass ndefu ili nisiharibu buku nililokuwa nalo ili nikanunue chakula uck mana sikuwa na shiling na nyumbani hakueleweki, sasa wakat narud ile jioni nimeoga vumbi balaa mana niliamini nikiwa natembea njaa haiumi sana tofauti na ukikaa sehemu moja. Bc wakati naelekea geto mara mtot fulani akaniita, nikasimama, yule mtot alichakaa sanaaa midomo imemkauka kashika kopo la maji, akanambia kuwa anaomba hata jero tu akanywe ata chai tangia asbh hajagusa kitu nam mfukoni nina buku tu tena noti. Nilijikuta nimetoa buku lote nikampa nikamwambia tumia vzr ikusaidie na kesho. Naondoka cwaz mm ntakulaje ila moyo unaniuma yule mtot na na mazingira anayolala. Bc nafika geto ndo naona geto lilivyonuna nikajilaza, dak kwenye tano tu meseji ikaingia nikaona imethinitishwa mpesa, ilikuwa 124,000/= nikafurahi nikajua n maza kanitumia kuangalia no na jina la wakala siyo mana home tulikuwa na wakala wa mpesa mmoja(kijijini), lkn pia niliwaza maza akituma hela nyingi sana ni 20,000/= nikatulia kwenye dak 15 namba ngeni ikapiga nikapokea alikuwa mtu kama mzee akanambia samahan katuma hela kimakosa anaomba arejeshewe. Daaaa nikamwambia sawa mzee nikutumie no hii hii? Akasema ndiyo. Bc nikamrudishia hela yotee kwangu ilipak sh 80 bc. Baada ya kupokea muamala mzee yule alinipigia akanishukuru sanaaa kisha akamata cm, kitambo kidg tu meseji ikaja tena 4BFJKGJ imethibitishwa nimepokea sh 23,000/= ckuamn macho yangu. Mzee aliamua kunipa ile hela kama shukurani. Akanambia ww utakuwa kama mwanangu akaanzaga kunisaidia ck ile ile kwa kunitumia hela nyingi za matumizi hadi na ada amewah nisaidia kiasi fuln hivi mana home walikwama kabisa, na hatukuwahi kuonanaga nae ata ck moja mpk naelekea kumaliza mzee aliacha kupatikana badaye mama (mke wa yule mzee) alinipgia cm kuwa baba yako alishafariki wk mbili sasa. Niliumia sana, na alikuwa kama mzaz wangu kabisa had nyumbn walifahamiana nae nam nilifahamiana na mke wake. Aliniahidig vitu ving sana nikimaliza masomo lkn Mungu n mwema akamchukua kabla ata hatujaonana, na alikuwa anakaa Mwanza mm Mbeya daa!. Na mpk leo naamn yule mtot alinipa baraka.Asee kumbe tuko wengi kuna kipindi ninakuwa sina uwezo wa kusaidia hapo inafika wakati in sacrifice resources chanche nilizonazo. Namshukuru mungu huwa ananilipa zaidi na nitoavyo.
π π π π π π π π π π π πWe utapigana au unajua kuuma tu..! Naogopa meno yako tu.. toka ile siku home ulivyonikosasa jino ukaenda kuuma mbao hadi ikakatika unafikiri nitaruhusu nipigane nawe!!..π
Si nakukumbusha matukio yako ambayo ndo maisha yako ya zamani halafu ukiwa kanisani unakuta nawe unakemea "toka shetani" sasa kwa hayo meno... Simaliziiπ π π π π π π π π π π π
Haki kenzy nimecheka kinyama
Nitakukata kelebu blazaπ πSi nakukumbusha matukio yako ambayo ndo maisha yako ya zamani halafu ukiwa kanisani unakuta nawe unakemea "toka shetani" sasa kwa hayo meno... Simalizii
Dada umeshindaje..?π€£
Ha haa! Kwaheri baki na kerebu zako mi nasafari lager..π€£Nitakukata kelebu blazaπ π