JF member leo share weakness yako hapa

JF member leo share weakness yako hapa

Kila mtu ana weakness yake sasa ebu tuseme leo tuone kama hivi vitu huwa vinafananaga kwa wengi..
Mimi bhana weakness yangu ni churaaa yani churaaa nikipishana na mkia haswaa lazima nigeuke nyuma niutathmini.
Nahonga sana siku hizi
 
Weakness ya 1. Naweza kwenda baa kunywa bia 3 au nne lakini nikajikuta nimekunywa hadi kesho yake na hela zote nimemaliza na kichwa kinaniuma na sina hamu ya kula.

2. Chinga anaweza pita na kitu kizuri mfano(viatu,mkanda, tishirt au hata suruali) najikuta nimenunua hata kama haikuwa kwenye bajeti.

3.Niko tayari njaa iniume lakini niwe nimevaa shati au jeans kali, naweza nunua bando badala ya msosi.

4.Pisi kali kali mimi ndo naugua kabisaaaa

Just to mention few.
Utakufa kwa umaskini kama wewe ni pangu pa kavu,
Lasivyo badili lifestyle mkuu.
 
Nina weakness mbili tu:

Moja ni mamiguu...
Guu%20la%20Bia.jpg

Pili ni mizigo mizito....
Tumblr_l_270034533727823.jpg

Mengine yote kawaida tu...[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Mkuu nakumbuka kuna kipnd wakat nasoma, nilipga pass ndefu ili nisiharibu buku nililokuwa nalo ili nikanunue chakula uck mana sikuwa na shiling na nyumbani hakueleweki, sasa wakat narud ile jioni nimeoga vumbi balaa mana niliamini nikiwa natembea njaa haiumi sana tofauti na ukikaa sehemu moja. Bc wakati naelekea geto mara mtot fulani akaniita, nikasimama, yule mtot alichakaa sanaaa midomo imemkauka kashika kopo la maji, akanambia kuwa anaomba hata jero tu akanywe ata chai tangia asbh hajagusa kitu nam mfukoni nina buku tu tena noti. Nilijikuta nimetoa buku lote nikampa nikamwambia tumia vzr ikusaidie na kesho. Naondoka cwaz mm ntakulaje ila moyo unaniuma yule mtot na na mazingira anayolala. Bc nafika geto ndo naona geto lilivyonuna nikajilaza, dak kwenye tano tu meseji ikaingia nikaona imethinitishwa mpesa, ilikuwa 124,000/= nikafurahi nikajua n maza kanitumia kuangalia no na jina la wakala siyo mana home tulikuwa na wakala wa mpesa mmoja(kijijini), lkn pia niliwaza maza akituma hela nyingi sana ni 20,000/= nikatulia kwenye dak 15 namba ngeni ikapiga nikapokea alikuwa mtu kama mzee akanambia samahan katuma hela kimakosa anaomba arejeshewe. Daaaa nikamwambia sawa mzee nikutumie no hii hii? Akasema ndiyo. Bc nikamrudishia hela yotee kwangu ilipak sh 80 bc. Baada ya kupokea muamala mzee yule alinipigia akanishukuru sanaaa kisha akamata cm, kitambo kidg tu meseji ikaja tena 4BFJKGJ imethibitishwa nimepokea sh 23,000/= ckuamn macho yangu. Mzee aliamua kunipa ile hela kama shukurani. Akanambia ww utakuwa kama mwanangu akaanzaga kunisaidia ck ile ile kwa kunitumia hela nyingi za matumizi hadi na ada amewah nisaidia kiasi fuln hivi mana home walikwama kabisa, na hatukuwahi kuonanaga nae ata ck moja mpk naelekea kumaliza mzee aliacha kupatikana badaye mama (mke wa yule mzee) alinipgia cm kuwa baba yako alishafariki wk mbili sasa. Niliumia sana, na alikuwa kama mzaz wangu kabisa had nyumbn walifahamiana nae nam nilifahamiana na mke wake. Aliniahidig vitu ving sana nikimaliza masomo lkn Mungu n mwema akamchukua kabla ata hatujaonana, na alikuwa anakaa Mwanza mm Mbeya daa!. Na mpk leo naamn yule mtot alinipa baraka.

Nataman kusaidia wengi ila sina cha kusaidia. Naumia sana moyoni. But ipo ck ntasaidia wengi na ndoto niliyonayo itatimia tu

Tusichoke kusaidiana jamani, huwezi jua kesho itakuwaje.
Mkuu stori yako imenigusa aise.
Huyo mtoto kanikunbusha kichaa mmoja.

Siku moja nilikuwa niko saloon kwa rafiki wa rafiki yangu(ni mmama)mwaka jana kipindi cha corona kilivyokuwa kimeshika hatam.kazini tulifunga so nikawa niko nyumbani kwa kipindi kirefu kidogo,pesa sikuwa nayo kwa kipindi kile.

So nilikuwa na 2000 tu hapo sijala mchana wala kunywa maji..nikaenda kununua ugali 1500 ikabaki 500 nikasema hii nitainunulia maji ya kunywa kurudi nyumbani nitaprint tu(kutembea).basi nikajipigia nguna yangu fresh nikachukua maji 1.5 (500) nikanywa kidogo sana.

Baada kama ya dakika 30 akaja mkaka(kichaa)amechafuka na ananuka akasema anakiu cha maji...nikiikumbuka hii siku machozi hunitoka hata hapa ninapoandika.pale saloon kulikuwa na maji yangu pamoja na ya mama mwenye saloon.

Yule mama alipomuona yule mkaka na jinsi anavyonuka alimfukuza kama mbwa.sijui unaielewa ile tone ya kumfukuza mbwa ee..eee hiyo hiyo sasa.haki nilijisikia vibaya mno🥺🥺nilimkata yule mama jicho(alijua)
Yule kaka(kichaa)akawa anatabasamu tu.

Kumbuka ninamaji ambayo yakiisha hayo sina mengine na pesa sina hata ya nauli ya kunirudisha nyumbani.yule mama alipogundua sijapenda alichokifanya akajibaragusa kutaka kumpa maji nikamwambia usimpe yako nitampa yangu.
Yeye kanyanyuka kumpa na mimi nikanyanyuka kumpa maji,lakini cha ajabu ni kwamba yule kaka(kichaa)aliyachukua maji yangu akanywa,yote kwa wakati mmoja.kisha akatabasamu akaondoka huku kaishikilia suruali yake(nilibakiwa na kifuniko mkononi)

Baadae nikapata nauli ya kunirudisha nyumban na pesa pia ya kutumia niliipata.tangu hapo yule mama nilimchukulia tofauti kabisa.

Nalitafakari sana.tunakutana na Baraka zetu lakini tunazifukuzia mbali kwa sababu zimekuja kwa zile njia ambazo hatutaki zije nazo,njia zenye muonekano wa kudhalilisha na kufedhehesha machoni pa wanadamu.
 
Sure mkuu. Inaumiza kuona unaweza kusaidia ila hujasaidia, binafs hiyo ck ntakesha najisonya tu kwa kushindwa kufanya kitu. Wengi huamn baraka za moja kwa moja na hizo ni nadra sana kuzipata.
Mm rafk yng alivyokuta n mwepesi wa kusaidia sana "ogopa sana kumsaidia mtu vitu kama hela nk anavyobaki navyo uliyemsaidia" nikamwuliza kwann? Alinambia wengine huwa si binadamu but hilo halijawahi kamwe nizuia kusaidia nikiwa na uwezo huo😇

Hongera pia kwa huo moyo wa kusaidia
 
Ni kweli asemacho rafiki yako..sasa hivi binadamu wamekuwa si waaminifu kabisa...unaweza kumsaidia mtu msaada wako ukaja kukutesa.

Lakini hiyo haituzuii tusisaidie watu.
Kabla hujasaidia kabidhi kwanza msaada wako mikononi mwa Mungu..na Mungu atashughulika nao kwa namna tusiyoijua.sadaka inalinda,inaponya,inaadhibu watesi wako,sadaka ni kila kitu.

Kwa pamoja tuendelee kutoa misaada kwa chochote tunachojaaliwa....namuomba aendelee kukuza kipato changu.kuna mambo ambayo yanahitaji pesa kuyatatua.

Ningepata mdhamini ningeshukuru sana.☹️☹️.
Ndoto yangu ni kusaidia watu.mimi ninauhitaji lakini kuna watu wauhitaji zaidi yangu.

Ni kawaida yangu nipatapo kazi sehemu..basi mshahara wangu wote(si mshahara mwingi lakini huo huo) kununua mahitaji na kwenda kuwapatia watoto yatima.na kila mwisho wa mwezi natoa asilimia kadhaa.

Siku hiyo nilienda kituo fulani kigamboni ni mda kidogo...nilikutana na vijana,wasichwna kwa wavulana..nikakutana na watoto wa kiume (miaka kama saba au nane)mmoja alikuwa amekaaa kwa huzuni mno🥺🥺😥😥😥😥 niliwaza mbali mno niliumia mno na ninaumia mpaka sasa(siwezi kuendelea kusema)maana nilitaman nimchukue aonje mapenzi ya mama kupitia mimi lakini Mungu wangu sikuwa na uwezo huo jamani🥺🥺🥺🥺.

Na iman humu ndani kuna watu wanandoto,mawazo na uwezo wa kusaidia watu wenye uhitaji..ikikupendeza tushikamane kuweza kuwasaidia kwa kadri Mungu atakavyosema nasi.

Kuna watu wanahitaji japo kuonyeshwa upendo kwa dakika kadhaa kuweza kubadilisha maisha yao.

Nimesaidiwa mno mpka kufika hapa nilipo.walionisaidia wanaishi moyoni mwangu na wataendelea kuishi mpka mbinguni.

Nataman kuishi mioyoni mwa watu kwa mazuri,natamani kuwa ngazi ya kuwapandisha wenzangu waliokwama.nafanyaje mimi Chakorii??🥺🥺🥺🥺 nifanyaje wana Jf???🥺🥺🥺
 
Hakika wapo wengi tu ila wengi wanaishia kuwaza anasa, jambo kama hili la mhimu wachache sana wanaweza kujitokeza na huenda wakapita bila ata kukomenti kitu utadhani hawajaona haja ya kufanya hivo.

Umewaza mbali zaidi na hata mm natamani kufanya kitu ila ndo hivo tena hiyo pawa naikosa. Ila najua wadau wenye roho za kusaidia watakuwa wameona, nawaombea tu Mungu awaguse waone umuhimu. Kuliko kipato chako ukakitumia kunywea bia bora bia moja ikamsaidia mtu mwenye uhitaji.
Daaa, Ila Mungu ni mwema atafanya jambo Chakorii
 
Amen.Mungu ni mwaminifu mno mkuu..huwa naamini hivyo..Mungu kufanya njia pasipokuwa na njia.kwa wakati wake atafanya mlango wa kutokea.

Tuwe na Imani na kumuomba Mungu atusimamie
 
Amina kibwa mkuu

Back
Top Bottom