JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Wewe kauze vitu vyako hukohuko Tik Tok/Instagram/FB lakini humu hakuna mtu wa kujiingiza kwenye mtego wa panya, Melo mwenyewe yuko mafichoni mnataka kumuua.
 
Kohozi nimekutema, ole wako nikuone siku nyingine unakatiza pua yako mbele yangu.
 
Hio research umefanya wapi mkuu?
 
Hio research umefanya wapi mkuu?
Humu humu JF mkuu ingawa sio wote ila asilimia kubwa sana. Members wengi wa zamani walikuwa magreat thinkers kweli wenye vigezo vyote, ukiwa biashara unafanya, ushauri wanatoa wa kueleweka na hata misaada pia.

Then ikaja hii jf ya magen z ndio imejaza memba wenye sifa nilizozotaja hapo juu na wakafanya wenye michango chanya wengi wapotee humu
 
Jf ni dark site ndo maana watu hawatumii majina yao bali wanafake inawapa uhuru wa kuongea kiuwazi au kukosoa.

Usishangae hawajitokez hadharan wanahofia huenda ukawa mtego.

Taarifa za wanajf zinalindwa mno na wasimamizi wa jf.
 
Kuna memba bantu lady alikuaga anarusha vocha za buku buku humu, raia zilikua zinamvizia hadi muda anaosema atarusha ukichelewa dakika 1 tu vocha ishatumika 😂😂 aisee.
 
Ungekua na akili timamu huu muda wa kuandika utumbo ungetengeneza tangazo huko Insta...

Upate chochote kitu uhame kwa dada....
Daaah mkuu umetisha😂🤣😂🤣😂🤣
 
Sababu ya kutumia majina bandia ni kwa kuwa GT hawataki mazoea na watu.
Jamiiforums ni uwanja wa hoja, ushauri na ukosoaji.
Mazingira yanaonyesha wanaokosolewa
hawaridhishwi na hilo.
Hivyo mambo kama biashara, mapenzi na mengine yatakayo wafanya memba kukaribiana ni vitu ambavyo wengi hawakubaliani navyo.
Kwamba wana pesa au laa hilo waachie wenyewe.
 
sasa mkuu PESA na GREAT THINKER si ni vitu viwili tofauti.? ama mim ndo sijaelewa
 
Basi kuna uwezekano mkubwa waliopo JF na hao wengine wa insta,FB na kwingine ni viumbe tofauti sana sehemu wanaoishi,kuwaza na vingine vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…