Kkaa washamba humu ni wengiAisee humu tumejaa wa uswazi sijaelewa yaani unataka kuwauzia bodaboda range rover
Mtu mwenye akili zake timamu hakai humu, ukiwa unapita kwa nje unaweza kudhani hapa ndio penyewe, ukifungua tu akaunti, unashangaa na upupu unaokutanana nao,
Uchizi na umasikini unaendana, kwa hiyo hapa sio saizi yako, tuachie sisi
Ukitaka kujua umasikini wa humu wewe anza kujifanya mtu wa madili na hela nyinyi, utashukiwa huko DM na vizinga mpaka utaifunga
yes, na walikua wanapokea pesa nyingiWakina Aristotle, Plato, Socrates ,Newton na Galileo walikuwa na pesa??
Na wanaomba ela jamani watu wa humu! Hawajali unayo au huna 🙌🏾Aisee humu tumejaa wa uswazi sijaelewa yaani unataka kuwauzia bodaboda range rover
Mtu mwenye akili zake timamu hakai humu, ukiwa unapita kwa nje unaweza kudhani hapa ndio penyewe, ukifungua tu akaunti, unashangaa na upupu unaokutanana nao,
Uchizi na umasikini unaendana, kwa hiyo hapa sio saizi yako, tuachie sisi
Ukitaka kujua umasikini wa humu wewe anza kujifanya mtu wa madili na hela nyinyi, utashukiwa huko DM na vizinga mpaka utaifunga
Unakumbuka tangazo lako hukuweka namba za simu hata nikakufata PM kukuomba hiyo namba nikisema nakuunganisha na mtu?Kuwa identified kivipi wakati mtu unamtafuta kwa no na sio id?
Hizo ni mbinu za kuteka watu upande wangu siwezi ku risk kama mtu yupo serious tangazo lake liwe direct sio ana acha maswali ili uende PM muombane number baadae Mafwele yupo mlangoni kwakoUnakumbuka tangazo lako hukuweka namba za simu hata nikakufata PM kukuomba hiyo namba nikisema nakuunganisha na mtu?
Well upo sahihi na unaweza usiwe sahihi vile vile,jamaa yupo sahihi mazingira ya humu kuitiwa tu kitu bei rahisi hakuwezi kumfanya mtu ajianike hadharani nchi yenyewe imejaa mauwaji kila kona.
Najua unachowaza... Hahaha haipo hivyo...Weee Sema kweli????!
Mkuu unatukanaga sana kwani? 😃😃😃😃Yaani mtu ajiponze kisa AC? huwezi kupiga namna hio Qmamae
Hao wajinga hawana dogo kitendo cha kua against wao tayari ni adui, kifupi hawataki mtu yoyote ambae yupo opposite na fikira zaoMkuu unatukanaga sana kwani? 😃😃😃😃
Mkuu upo sahihi, nchi hii imeharibika sana kwa kweli!Huu mtandao watu wanaogopa kua identifed acha ikae hivyo hivyo watekaji wapo site
Hapo umelitaja na jina langu mkuu kuna nini huko ?Wakina Aristotle, Plato, Socrates ,Newton na Galileo walikuwa na pesa??
Unatuvuruga masta,siyo wote humu hatuna akili kingine kwanini usiishi uhalisia wako?ujifanye una hela wakati huna sasa huo si utakuwa ujinga!?Mtu mwenye akili zake timamu hakai humu, ukiwa unapita kwa nje unaweza kudhani hapa ndio penyewe, ukifungua tu akaunti, unashangaa na upupu unaokutanana nao,
Uchizi na umasikini unaendana, kwa hiyo hapa sio saizi yako, tuachie sisi
Ukitaka kujua umasikini wa humu wewe anza kujifanya mtu wa madili na hela nyinyi, utashukiwa huko DM na vizinga mpaka utaifunga
No. Ndiyo identity yenyewe sasa!Kuwa identified kivipi wakati mtu unamtafuta kwa no na sio id?