JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Mkuu hapo juu anachosema Yuko sahihi, wengi wa watu walioko hum ni wajuaji sana wenye roho za kimasikini ni wepesi wa kuponda kwa Kila jambo bla bla kibao huko wote wanajiona matajiri maisha safi kumbe unga unga mwana. Ref Uzi alioweka Mshana Jr kuchichangia jf michango iliotoka! Watu walimshambulia sana yani mtu kuachia hata ten tu anaona kaibiwa huku nyuma ya keyboard anajiita mambo safi
Naunga mkono hoja Jf ni mtandao wa masikini na wajuaji .

Hata ukijaribu kuweka Uzi wa ushauri wa biashara una mtaji wa kiasi kadhaa wanaanza kejeli mara pesa hiyo kabeti tu na BLA BLA nyingine
 
Aisee humu tumejaa wa uswazi sijaelewa yaani unataka kuwauzia bodaboda range rover
Mtu mwenye akili zake timamu hakai humu, ukiwa unapita kwa nje unaweza kudhani hapa ndio penyewe, ukifungua tu akaunti, unashangaa na upupu unaokutanana nao,
Uchizi na umasikini unaendana, kwa hiyo hapa sio saizi yako, tuachie sisi
Ukitaka kujua umasikini wa humu wewe anza kujifanya mtu wa madili na hela nyinyi, utashukiwa huko DM na vizinga mpaka utaifunga
Nilishawahi kujifanya Don kwenye Uzi mmoja , nikakuta vizinga Pm halafu zinakuja kwa ID nyingine sio zile zao maarufu. Mtu ana ID kwa ajili ya vizinga

Cc : secretarybird
 
Jaman Kwan lazma tuwe wote wahaya?? Acha wengine tuwe wachaga na wapare tubane pesa zetu matajir wapo inster 😄😄😄😄😄 hii kauli imenifurahisha
 
Unafikiri naanzaje kununua bidhaa zako mtu mwenyewe utambulisho wako upo nyuma ya pazia, au unafikiri ni nani anakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia, usituhalibie CV mzee, humu tupo vibopa wengi tu tumejazana.
Huna akili .

Mbona humu watu wanaaminiana na Mimi nimenunua bidhaa kwa wengi tu ?

Kwani mtu anatoa pesa kizembe bila bidhaa kuwepo ?

Mimi nilinunua Kitabu humu mtu alinitumia PM then nikamtumia muamala na mwingine nilienda dukani kwake nikachukua mzigo na kutoa hela
 
Unaweza kukuta hao wanao nunua hizo bidhaa zako huko Insta ndio hao hao waliomo humu JF,
Sio kwamba mtu akiwa JF basi anakua hayupo kwenye social media zingine,

Sababu kuu ni kwamba,JF watu wanalinda privacy zao kwa usalama wao,ni rahisi kufanya biashara na mtu wa Insta kuliko mtu wa JF coz hapa kila mtu analinda privacy yake kwa usalama wake,ndio maana hata Moderators wa JF wanatumia fake ID's pia,

Kwakumalizia,hakuna uhusiono wowote kati ya kua Great thinker na kua na hela au kutokua na hela.
Mimi sihofii chochote kuhusu kukutana na Jf member Kwa sababu za kibiashara kwani najiamini kuwa hakuna sababu ya kuwindwa
 
Back
Top Bottom