MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
🤣🤣🤣🤣,Ya Allah🥱Ile comment yako ya mwanzo ndio ilikua comment yako halisi.
😀 😀

Naheshimu maamuzi yako ila na wewe pia unatakiwa kuheshimu mawazo au uamuzi wa walioamua kulinda privacy zao humu JFMimi sihofii chochote kuhusu kukutana na Jf member Kwa sababu za kibiashara kwani najiamini kuwa hakuna sababu ya kuwindwa
Kwanza kibongo bongo biashara za online bado sana nisha wahi uziwa simu ya hovyo sana ilikua inaisha chaji ndani ya masaa matatu alf jamaa alie niuzia akawa hapokei tena simuMleta mada anataka matajiri kama nyinyi mnunue AC Instagram,
Anaamini kua kununua AC Insta ndio kipimo cha utajiri na ndio kipimo cha kua Great Thinker.
😀😀
Halafu naona uliamua kunipotezea lile ombi langu,🤣🤣🤣🤣,Ya Allah🥱
Iwapo hiyo ndiyo sababu ya uwepo wako jukwaani hapa tuhesabu hasara kabisa.Huu uzi ukiingia kichwa kichwa utaishia kuwa na hasira halafu utatoka bila bila
Ila ukiwa makini utatoka na kitu hapa
Nimeweka huu uzi baada ya Juzi kuweka tangazo langu la kuuza ac na vitu vingi tu tokea kitambo ila nikaja kugundua jf member wengi humu ni pangu pakavu tia mchuzi hela hamna
Mara nyingi watu wa jf huwaona watu wa istagram na facebook kama watu watoto ma wasiojielewa ila cha kushangaza Matajri wengi wapo instagram mimi nikiwa shahidi
Nilianza biashara viatu 2020 nikaanza kutangaza humu ila niliishia kupata hela ya kula tu na watu wachache sana, ila kuna mtu akanishauri nikatangaze facebook na instagram nilivyoelekea kule ndani ya miaka 3 tu instagram ilinipa wateja wengi nikafungua na duka yaani ilinileta kwenye maisha ya ndoto zangu ila nikajiuliza kwa nini jf ni pagumu kutoka kibiashara?
Juzi niliweka Ac hapa tena nlikuwa nauza kwa bei chee tu sh 690000 kama kawaida watu humu wengi wana zarau na hela hawana nikaishia kuona blaa blaa na masihara mara mtu anacoment laki 4 ipo mfuko wa shati mwingine ananiita mimi winga siku 3 sikupata mteja hapa
Basi nikaingia instagram nikalipia tangazo 5400 dola mbili nikatangaza kuwa nauza ac na vigezo vyake yaani ndani ya masaa machechs watu walikuwa wanagombania tangazo nililiweka usiku asubuhi saa 12 mteja akadamkia kwangu akatest akalipa akasepa nayo chap tu na wengine bado sim zikawa zinaita yaani instagram watu wana hela
Nilishawahi kuweka tangazo hapa jf Gari inauzwa bei chee tu crown no E KWA Milioni 13 tu ilikuwa inahitajika hela ya haraka ila kama kawaida watu hapa pesa ni ya mawazo ila kuja kutangaza insta ni chap niliuza nikaswma why jf?
Inatagram weka hata Range rover unauza milioni 300 shida chuma kiwe kizima na bei sio ya tamaa masaa 12 mengi unauza yaani watu wa kule pesa ipo sio ya kitoto na matajiri wengi hawatumii jf sijui ni kwa nini
Sasa how Come Great thinkers wengi humu hamna hela?
Jf kwa ushauri wa vilinge vya waganga,magonjwa watu wa msaada utawapata hapo napaheshimu ila michongo ya hela humu hapana
Jamii forum member wengi wana roho za kimaskini na wajuaji yaani utakuta umeweka tangazo lako maybe unahza ist yako nzuri tu mtu anakuja anasema gari mbovu , mwingine sio bei yake yaani ilimradi mtu aharibu muwe wote maskini
Ukitaka utoke chap kimaisha tangaza biashara yako instagram au fb hutojutia kule.
Oya popoma acha udwanziUlikuwa huna hela .
Si unachukua namba yake unamtumia hiko kiasi kwa wakala hapo usalama wako utakuwa umehatarishwa kivipi ?
Masikini huna hela unajiproud kindezi Wenye akili tushakustukia , kadanganye nyumbuzOya popoma acha udwanzi
Hahaha.. imebidi nicheke kikumaninaYaani mtu ajiponze kisa AC? huwezi kupiga namna hio Qmamae
Tuwakatae watekaji na wauaji tuweze kudumisha amani ya kweli.Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Jamani,ulipotea sana,,,nikajua ulitoka oct29/9Halafu naona uliamua kunipotezea lile ombi langu,
Au ndio uliamua kunifuta kabisa?
Kuwa great thinker na kuwa na hela ni vitu viwili tofautiHuu uzi ukiingia kichwa kichwa utaishia kuwa na hasira halafu utatoka bila bila
Ila ukiwa makini utatoka na kitu hapa
Nimeweka huu uzi baada ya Juzi kuweka tangazo langu la kuuza ac na vitu vingi tu tokea kitambo ila nikaja kugundua jf member wengi humu ni pangu pakavu tia mchuzi hela hamna
Mara nyingi watu wa jf huwaona watu wa istagram na facebook kama watu watoto ma wasiojielewa ila cha kushangaza Matajri wengi wapo instagram mimi nikiwa shahidi
Nilianza biashara viatu 2020 nikaanza kutangaza humu ila niliishia kupata hela ya kula tu na watu wachache sana, ila kuna mtu akanishauri nikatangaze facebook na instagram nilivyoelekea kule ndani ya miaka 3 tu instagram ilinipa wateja wengi nikafungua na duka yaani ilinileta kwenye maisha ya ndoto zangu ila nikajiuliza kwa nini jf ni pagumu kutoka kibiashara?
Juzi niliweka Ac hapa tena nlikuwa nauza kwa bei chee tu sh 690000 kama kawaida watu humu wengi wana zarau na hela hawana nikaishia kuona blaa blaa na masihara mara mtu anacoment laki 4 ipo mfuko wa shati mwingine ananiita mimi winga siku 3 sikupata mteja hapa
Basi nikaingia instagram nikalipia tangazo 5400 dola mbili nikatangaza kuwa nauza ac na vigezo vyake yaani ndani ya masaa machechs watu walikuwa wanagombania tangazo nililiweka usiku asubuhi saa 12 mteja akadamkia kwangu akatest akalipa akasepa nayo chap tu na wengine bado sim zikawa zinaita yaani instagram watu wana hela
Nilishawahi kuweka tangazo hapa jf Gari inauzwa bei chee tu crown no E KWA Milioni 13 tu ilikuwa inahitajika hela ya haraka ila kama kawaida watu hapa pesa ni ya mawazo ila kuja kutangaza insta ni chap niliuza nikaswma why jf?
Inatagram weka hata Range rover unauza milioni 300 shida chuma kiwe kizima na bei sio ya tamaa masaa 12 mengi unauza yaani watu wa kule pesa ipo sio ya kitoto na matajiri wengi hawatumii jf sijui ni kwa nini
Sasa how Come Great thinkers wengi humu hamna hela?
Jf kwa ushauri wa vilinge vya waganga,magonjwa watu wa msaada utawapata hapo napaheshimu ila michongo ya hela humu hapana
Jamii forum member wengi wana roho za kimaskini na wajuaji yaani utakuta umeweka tangazo lako maybe unahza ist yako nzuri tu mtu anakuja anasema gari mbovu , mwingine sio bei yake yaani ilimradi mtu aharibu muwe wote maskini
Ukitaka utoke chap kimaisha tangaza biashara yako instagram au fb hutojutia kule.
Akiwazacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake!Najua unachowaza... Hahaha haipo hivyo...
Kwani hujui kua mimi nipo mbele? Sipo huko.Jamani,ulipotea sana,,,nikajua ulitoka oct29/9
Binafsi nawakataa kwa nguvu zangu zote,si haki hata kidogo haya wanayoyafanyaTuwakatae watekaji na wauaji tuweze kudumisha amani ya kweli.
Watu wa insta hawaijui jfUnaweza kukuta hao wanao nunua hizo bidhaa zako huko Insta ndio hao hao waliomo humu JF,
Sio kwamba mtu akiwa JF basi anakua hayupo kwenye social media zingine,
Sababu kuu ni kwamba,JF watu wanalinda privacy zao kwa usalama wao,ni rahisi kufanya biashara na mtu wa Insta kuliko mtu wa JF coz hapa kila mtu analinda privacy yake kwa usalama wake,ndio maana hata Moderators wa JF wanatumia fake ID's pia,
Kwakumalizia,hakuna uhusiono wowote kati ya kua Great thinker na kua na hela au kutokua na hela.
Sema ww kkNikweli kabisa watu wengi humu wamejaa dharau na kebehi hata kwenye vitu vya msingi wakati pesa hawana.
Mimi nadhani most of the people kwenye hili jukwaa ni Great sinker. Na sio great thinker kama ulivyokuwa hapo nyuma.