Wapo mkuu, Kuna watu Wana ukwasi humu alafu tunakutana nao kwenye nyuzi za ajabu ajabu, na ata ukiomba msaada hupati..ila wapo na ukwasi wa kutoshaHuku wamejaa wajuaji, jobless na machawa ya kufukuzia buku 7. Hum Sina hakika kwa Hawa wote wanaojazana kwenye nyuzi Sina hakika yupo mwenyewe walau mil 50 saving kwa account
Watu wenye hali nzuri ni wachache, sio jf tu hata huku mtaani tunapoishi.Mkuu hapo juu anachosema Yuko sahihi, wengi wa watu walioko hum ni wajuaji sana wenye roho za kimasikini ni wepesi wa kuponda kwa Kila jambo bla bla kibao huko wote wanajiona matajiri maisha safi kumbe unga unga mwana. Ref Uzi alioweka Mshana Jr kuchichangia jf michango iliotoka! Watu walimshambulia sana yani mtu kuachia hata ten tu anaona kaibiwa huku nyuma ya keyboard anajiita mambo safi
Baba Antipas, hata wewe huna mil 50 savings?Hawa wote wanaojazana kwenye nyuzi Sina hakika yupo mwenyewe walau mil 50 saving kwa account
Sasa ww kuuza huku JF na watu kuwa great thinkers inaingiliana vp[emoji23][emoji23] mi nawasemea ukweli humu hela hamna mbona nishauza chapu
uzi ufungweJf ina watumiaji wachache ukilinganisha na hiyo mitandao ulioitaja. Idadi kubwa ya watu insta na facebook maana yake uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mteja.
Pili, Jf ni mtandao umejenga mazoea kwamba members wake lazima watumie fake identity. Kwaiyo inakua ngumu mtu kukubali mkutane ana kwa ana. Sio biashara tu hata sehemu ya starehe mfano nenda kitambaa cheupe halafu sema upo pale member wa jf ajisogeze mjuane. Hata kama kuna wanajf hapo kitambaa hakuna atakaejionyesha
Halafu suala la mtu kuwa great thinker halina uhusiano mkubwa na mtu kuwa na hela katika dunia ya sasa ambayo kutoboa inategemea zaidi connection. Katika dunia ambayo wenye nafasi wanaua innovation minds ili kuweza kutengeneza njia rahisi kwa ndugu na watoto wao, intelligent capability haitakusaidia kivile kama haupo kwenye system
Cha muhimu tuheshimiane Hasa wale wenzangu namimi tuheshimu pia platform nyingine.Wapo ila wachache sanaa wengi humu makapuku alafu wanawazarau watu wa insta
Mama antpass bhn😄Baba Antipas, hata wewe huna mil 50 savings?
Pole 😂Mnalitumia vibaya jina la Grat thinkers huwezi ukawa great tninker alafu hela huna
Ni sahihi ila hum ujuaji umezidi sana aiseeWatu wenye hali nzuri ni wachache, sio jf tu hata huku mtaani tunapoishi.
Fake identity mkuu.Ni sahihi ila hum ujuaji umezidi sana aisee
Nilishawahi post picha ya bidhaa flan hum nikaishia kuambiwa nitoe takataka zangu hizo😄Wapo mkuu, Kuna watu Wana ukwasi humu alafu tunakutana nao kwenye nyuzi za ajabu ajabu, na ata ukiomba msaada hupati..ila wapo na ukwasi wa kutosha
HAO SIO GREAT THINKER NI THINK TENKAWakina Aristotle, Plato, Socrates ,Newton na Galileo walikuwa na pesa??