JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Bro look and feel za JF na Insta nitofauti.

Unahisi hao wanaotumia IG hawatumii JF, huku kuingia tu bila VPN ni ngumu, bado mtu aanze kwenda kwenye forums za biashara aje kukutana na tangazo lako, wakati insta ukiingia tu unakutana na matangazo kibao hata yale ambayo.hauko interested nayo utakutana nayo ,ndio hapo sasa unapata wateja
 
Jf pesa hamna
 
Nilitamani nikutukane ila nikakumbuka wewe ni punguani wa maarifa unayenihalibia Cv kila siku, anyway siwezi kumuamini yeyote humu ndani, kumbuka na wasiojulikana wapo humuhumu mjengoni.
 
Nilitamani nikutukane ila nikakumbuka wewe ni punguani wa maarifa unayenihalibia Cv kila siku, anyway siwezi kumuamini yeyote humu ndani, kumbuka na wasiojulikana wapo humuhumu mjengoni.
Labda una CV ya upuuzi , kwa miaka takribani mi 5 iliyopita hapajatokea mpuuzi Jf kuzidi kiwango chako.

Sio kunihalibia ❌ = Kuniharibia ✅

Sasa kama kuandika kiswahili na kutofautisha kati ya L na R huwezi Kuna haja ya kubishana na wewe ?

Hapo si tayari umeshathibitisha kuwa wewe ni mjinga ?
 
Jf kwa ushauri wa vilinge vya waganga,magonjwa watu wa msaada utawapata hapo napaheshimu ila michongo ya hela humu hapana
😹😹😹😹😹😹😹
We mjinga sikupanga kucheka km hivi mpaka machozi yamenitoka..!! Khaaaa
 
We nawe toka uchangie buku 5 kelele mji mzima kama mgumba kapata mimba..!!
 
Huku wamejaa wajuaji, jobless na machawa ya kufukuzia buku 7. Hum Sina hakika kwa Hawa wote wanaojazana kwenye nyuzi Sina hakika yupo mwenyewe walau mil 50 saving kwa account
Wapo humu zaidi ya hizo..sema id zinawafanya wawe gizani tu
 
Kwanza jina lako tu linatisha
 
Nawaambieni kueni makini na watu wa humu..ohooo.msijesema sikuwambia..na usiulize zaidi maana sitakua na majjbu ya kueleweka
 
1. Kwani kuwa Great thinker ni lazima uwe na fedha? Kuna wajinga wengi tu wenye fedha eg Abdul wa kimama. 2 Inawezekana great thinkers wa hapa wako level nyingine na hawatumii bidhaa unazouza wewe.
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
We mjinga sikupanga kucheka km hivi mpaka machozi yamenitoka..!! Khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] humu walozi kama wote ila matajiri aah[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…