JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu



cc Nyani Ngabu Watu8 lara1
 
Last edited by a moderator:
Ocampo four kapotea sana.Sababu wanazijua mods kwanini hawataki kumfungulia.
 
Last edited by a moderator:
Majina haya kunguni wa ulaya,bubu ataka kusema(BAK) mzurimie,kichwa ndio mtu,fedhuli na kifyatu kwa kweli huo kabla sijasoma comments zao hubaki kutabasamu kwa majina yao.
 
Mdogomdogo wifey.... utatoa siri za room usipokuwa makini....

Karibu pentagon...

Al Hood.... Al Shabeeb.... Al Sumry....Al Daaesksipres....
mume wa mimi salima sana karia na members woteee wa pentagon, nitakuja siku isiyo na jina kama mwana wa ADAMU ajavyo! luv u more hubby wa mimi! Asprin
 
Last edited by a moderator:
mume wa mimi salima sana karia na members woteee wa pentagon, nitakuja siku isiyo na jina kama mwana wa ADAMU ajavyo! luv u more hubby wa mimi! Asprin

Amen Amen Amen wife wangu mwenyewe...

cc: KARIA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…