JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

kipindi nikiwa guest nilikua nawapenda sana wafuatao kwa busara,nawaheshimu sn.watu8,grafani11,lara1.pia pdidy,king'asti,kongosho,smile but sikuhizi siwaoni humu ndani.pia nyani ngabu nilikuaga namwogopa sana na nilikua interested kusoma comments zake.nasikitika sana tena sana.wamekua adimu sn.


cc Nyani Ngabu Watu8 lara1
 
Last edited by a moderator:
Ocampo four kapotea sana.Sababu wanazijua mods kwanini hawataki kumfungulia.
 
Last edited by a moderator:
Majina haya kunguni wa ulaya,bubu ataka kusema(BAK) mzurimie,kichwa ndio mtu,fedhuli na kifyatu kwa kweli huo kabla sijasoma comments zao hubaki kutabasamu kwa majina yao.
 
Mdogomdogo wifey.... utatoa siri za room usipokuwa makini....

Karibu pentagon...

Al Hood.... Al Shabeeb.... Al Sumry....Al Daaesksipres....
mume wa mimi salima sana karia na members woteee wa pentagon, nitakuja siku isiyo na jina kama mwana wa ADAMU ajavyo! luv u more hubby wa mimi! Asprin
 
Last edited by a moderator:
mume wa mimi salima sana karia na members woteee wa pentagon, nitakuja siku isiyo na jina kama mwana wa ADAMU ajavyo! luv u more hubby wa mimi! Asprin

Amen Amen Amen wife wangu mwenyewe...

cc: KARIA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom