JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

frema120 amepotea sana, supu ya mawe mzee wa makavu live
 
Inafurahisha sana kuona kwamba kuna watu wanakukumbuka kwa mazuri.
I believe JF ni familia moja so ni nzuri kuulizana juu ya wenzetu waliopotea hapa mjengoni.
Mkuu Mr Q mimi nipo naendelea na ujenzi wa taifa.
Mh mungu akupe moyo wa upendo daima.
 
Last edited by a moderator:
Huyu sijui kama yupo hai, na kama yupo basi kabadili jina na staili ya kuishi humu

Kama sikosei niliwahi kuona uzi humu wa member aliyefanana na ID hii Malaria Sugu kwamba amefariki, but mtanisahihisha if im wrong.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…