JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

frema120 amepotea sana, supu ya mawe mzee wa makavu live
 
Hawa enzi zao walivuma


CHAI CHUNGU Mwali Howt Lady ASHA dii Boflo Snowwhite
zomba @@Mwita Maranya Kongosho @@TIQO Kaunga utafiti (alitisha sana na picha zake)
Ni wengi kwa kweli JAPO WENGI WAO WAPO HUMU KWA ID MPYA MPYA IKIWA MATOKEO YA KUTUNISHIANA MISULI HUKO PM
KUTONGOZANA N.K.....

TEH TEH.!
Inafurahisha sana kuona kwamba kuna watu wanakukumbuka kwa mazuri.
I believe JF ni familia moja so ni nzuri kuulizana juu ya wenzetu waliopotea hapa mjengoni.
Mkuu Mr Q mimi nipo naendelea na ujenzi wa taifa.
Mh mungu akupe moyo wa upendo daima.
 
Last edited by a moderator:
Huyu sijui kama yupo hai, na kama yupo basi kabadili jina na staili ya kuishi humu

Kama sikosei niliwahi kuona uzi humu wa member aliyefanana na ID hii Malaria Sugu kwamba amefariki, but mtanisahihisha if im wrong.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom