Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Chief-Mkwawa Heshima Kwako Mkuu.. ulinisaidia sana Mambo flani ya IT ambayo sikuwa naelewa (Mkuu siku hizi sikuoni)
Sizinga Heshima Kwa huyu Bwana ndiye aliyenishauri Nifanye Civil Engineering
KikulachoChako Heshima kwako Boss ulinisaidia Jambo Moja intelectual saana
SANCTUS ANACLETUS Ni mtu anayeunga Mkono Juhudi tunazozifanya wakatoliki kuitetea imani yetu
sandraeli Homie.. Nampenda sana
Kichwa Kichafu Mwanangu sana
Da'Vinci Mshikaji wangu, anajua siri zangu
Habibu B. Anga Maarufu kama Thebold, Huwa nasoma story zake kujirefresh pale ninapochoka
Sky Eclat Anaonekana Mdada mtu Mzima.. Mfano wa kuigwa (Kwa Hii ID lakini sijui Zingine)
Mama Sabrina Anachangamsha Jukwaa.. Japo bado Hajakomaa..ana temper za karibu
Demiss Anachangamsha na story za Uongo na kweli.. Nina doubt kubwa huyu ana id zingine


Na Mshikaji Mmoja Simkumbuki Jina ila huwa Namshukuru sana aliwahi kutoa uzi ukisema
Kamwe usimpe Mwanamke Moyo wako, Kamwe usiwe na Mwanamke Mmoja...toka nisome uzi wa huyu bwana mapenzi hayajanitesa tena..
.NAPENDWA TU. kama kuna anayemjua amTag please!
Na wengine Wengi Ambao siwezi Kuwaandika, Michango Yenu imeisaidia Jamii kwa namna Moja ama Nyingine ambayo hata nyinyi Pia hamkuweza Kutarajia kama ingeweza kuwa Effective kiasi hiko..

I Appreciate!

ALFRED
 
Mi ni die hard fan wa mtemi Deogratius Nalimi Kisandu, nafurah anavoanzisha mada yenye mkanganyiko af anawaachia mchanganyane bila yy kucomment, af story zake zote huwa zinaanzia katikati. Jana usiku nlipita kwny fb page yake na kukutana na mada kiboko, ila aloniua mbavu ni ya yy kuzuiwa kut*mb* ili hali ana hamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hapa sina jambo!

Ngoja nitupe ndoano: Karucee nakufagilia sana na kukuzolea kabisa.. I sweep fo yuu so vereee machii...
 
-nikianza na raisi asiye na ukomo uraisi wake anaujua mwenyewe the chimney ngabu Nyani Ngabu

- dada angu najua kuwa unajua nakukubali Mama Sabrina

-mkuu Mzigua90 heshima kwako

- Mwifwa respect kwako mkuu

- theriogenology heshima yako popote ulipo

- Demiss respect hako ka avatar naomba usibadilishe [emoji23][emoji23]

Wick

Numbisa shafih dauda wangu huyu
Heshima kwako Jimmie Gatsby .....

Nimekua mdau wako sana toka ulivyoshusha tips zako kuhusu SHEMALES wa Thailand [emoji12] [emoji12] [emoji12]....

Kama uko jiji la mjukuuu wa babu weekend moja tuonane chief....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom