Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
not only Balls also a DickTry it, if you have balls.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
not only Balls also a DickTry it, if you have balls.
White nimepitia huu uzi kuanzia mwanzo mpaka sasa wewe ndio Mwanamke ulie na mvuto na kukubalika kwa asilimia zaidi 90 humu ndani.....
Siwezi rafiki hata wanitie vidol vya macho ntawaangalia tu.White nimepitia huu uzi kuanzia mwanzo mpaka sasa wewe ndio Mwanamke ulie na mvuto na kukubalika kwa asilimia zaidi 90 humu ndani.....
Hongera na hakikisha hujivunjii heshima uliojiwekea humu ndani My Mzigua....
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeMi nawakubali wote, hadi wengine wenye profile mbili tatu nao nawakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
wor off mkuu... tutachekiana aseeHeshima kwako Jimmie Gatsby .....
Nimekua mdau wako sana toka ulivyoshusha tips zako kuhusu SHEMALES wa Thailand [emoji12] [emoji12] [emoji12]....
Kama uko jiji la mjukuuu wa babu weekend moja tuonane chief....
Sent using Jamii Forums mobile app
OK Mia, malizia shule mkuuAsante Mkuu, Sijajutia Ushauri wako Mpaka leo! Karibu UDSM!
Thanks to you my sweetheart[emoji7]Wale wa darajani, wale wa OT , wale wa Majogoo na arsenal fans. (Tusichekane lakini tutainuka tuu[emoji13][emoji13]) And My special appreciation goes to sumbai [emoji8][emoji8][emoji8]
Don Clericuzio boss mwenyewe mwenye wadhifa.
4G LTE ooh sijui nisimeje. Acha muda uongee.
espy Dada wa mie.
Madame S [emoji177]
everlenk I miss you mom..
sister jamani ujeee
Bailly5 my brother from another mother,
Bila kumsahau jirani yangu SHAMMA.
Asanten sana kwa support zenu za mawazo na wadhifa. Nawapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
I just count blessing twice, more than sister, more than shem....Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,
Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza
Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu
Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana
SteveMollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho
Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo
mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah
Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu
Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu
Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,
sumbai yo the best!!
Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
Thanks.
You are awesome young man.
Thanks dada shemeji.Huyu joka_jeusi kwa kuvunja tuu mbavu zangu.
Nyani Ngabu nikisoma comment zake huwa nafurahi sana na kingereza chake sijui cha kiyahudi kile kigumu sana.
cute b na sumbai my best couple na hii ya mahondaw na smart
Wambea wenzangu sasa wotee mliostaafu na mnaoendelea kulisongesha,
rubii
Maserati
Shunie
Raynavero
Mama Sabrina
Demiss
Na wengine wengi.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Nitakuja tunene mawili matatu kama hutajali pia kama ratiba itaruhusu...Asante Mkuu, Sijajutia Ushauri wako Mpaka leo! Karibu UDSM!