Hayo ndio maneno sasa Darmian
uliwaona wangapi!?.. wasije kuwa wale wacheza shoo harusi ya dada wa bibi!..
Utamshindwa ana masharti mengi sana!.. Mpaka katulia kwangu, nimeteseka nae sana!.. Trust me
Utamshindwa ana masharti mengi sana!.. Mpaka katulia kwangu, nimeteseka nae sana!.. Trust me
Nashukuru sana Madame S. Sitaacha kuandika mfurahi!Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,
Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza
Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu
Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana
SteveMollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho
Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo
mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah
Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu
Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu
Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,
sumbai yo the best!!
Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
Woyoooooo bina unapendeka pia hata ukamilifu wa dahari. Tutagawana perfumeHeaven sent hekma zake
Nifah she is my girl
Dinazarde my binamu toka enzii
Shunie my friend nje ndani
Mzigua nampenda she is beuty with brain
Sky eclat nampenda,nalendwa pia!hawa wamama acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima na kwako pia mkuu..-nikianza na raisi asiye na ukomo uraisi wake anaujua mwenyewe the chimney ngabu Nyani Ngabu
- dada angu najua kuwa unajua nakukubali Mama Sabrina
-mkuu Mzigua90 heshima kwako
- Mwifwa respect kwako mkuu
- theriogenology heshima yako popote ulipo
- Demiss respect hako ka avatar naomba usibadilishe [emoji23][emoji23]
Wick
Numbisa shafih dauda wangu huyu
Amen
Weka picha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nimekutaja Babu
Mambo mengine uwe unaniambia PM kule bhana.Babu jamani nakupenda mm
Basi ngoja nikupigie kabisa babu yangu mmMambo mengine uwe unaniambia PM kule bhana.
itakua hiyo harusi basi!.Niliwaona wengi sana
Ewaaa hapo sawa mjukuu kipenzi cha babu mkaguziBasi ngoja nikupigie kabisa babu yangu mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uliwaona wangapi!?.. wasije kuwa wale wacheza shoo harusi ya dada wa bibi!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawakubali wanaJF wote. Wenye busara na wapumbavu pia. Nimejifunza mengi sana kutoka kwenu!
From - KANA - with love!
- KANA -