Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Woyoooooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyoooooooooo
hahah am kidn natest upepo tu mchuchu..Umeanza
Ahahahahhahaa kweli??? Naonekana hivyo???
Hahahahhahaha ningeandamana kaa usingekuja
umepewa ruhusa?? mbona unacheka??
Nimeanza kushiba japo niko nyuma ya mudakiasi mpenzi
Naeza nikakaa huku kila siku nasoma tuu sicomenti. Lakini Mara pap nikakutana na Uzi MKUBWA naweka kambi. Nafidia siku zote ambazo sikuandika. Teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo nakuaminia mara paaap dark angel huyu hapa unajiuliza katokea wapi
Sitaki kesi ya yule jamaa wa kuitwa "Wick"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naomba unichukue na mm tuwe wote uko nje
Hahahauje kuzima taa huku halafu ntakuambia, uje basi kule
hahah am kidn natest upepo tu mchuchu..
Mnanichosha tuTupige basi hiyo picha jamani
Naeza nikakaa huku kila siku nasoma tuu sicomenti. Lakini Mara pap nikakutana na Uzi MKUBWA naweka kambi. Nafidia siku zote ambazo sikuandika. Teh teh
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
HahahahahhahaNimeanza kushiba japo niko nyuma ya muda
Mnanichosha tu
sina wengine wa kuwachokoza tofauti na humu sasa mnielewe tu mchuchu hahaHahhahha mana mchuchu wewe kwa uchokozi
Unazingua weweSina ndio nini hiyo
Hahhahahhahasina wengine wa kuwachokoza tofauti na humu sasa mnielewe tu mchuchu haha
Thanks Babes.Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,
Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza
Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu
Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana
steve mollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho
Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo
mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah
Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu
Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu
Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,
sumbai yo the best!!
Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
Unazingua wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haka kathread kamekaa kimbeambea ndo maana sijatajwa....
Ngoja niendelee kupiga ugimbi huku kaunta ya juu...
ahsante sana😕Thanks Babes.
I appreciate you.
Karibuni sana.
Yaah muulize kwanza akupe go ahead,tuende zetu paris..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nimuulize Wick si utaniruhusu Darmian anichukue kunipeleka nje