Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo nakuaminia mara paaap dark angel huyu hapa unajiuliza katokea wapi
Naeza nikakaa huku kila siku nasoma tuu sicomenti. Lakini Mara pap nikakutana na Uzi MKUBWA naweka kambi. Nafidia siku zote ambazo sikuandika. Teh teh

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF yetu idumu tu
Naeza nikakaa huku kila siku nasoma tuu sicomenti. Lakini Mara pap nikakutana na Uzi MKUBWA naweka kambi. Nafidia siku zote ambazo sikuandika. Teh teh

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
 
Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,

Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza

Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu

Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana

steve mollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho

Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo

mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah

Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu

Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu

Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,

sumbai yo the best!!


Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
Thanks Babes.

I appreciate you.

Karibuni sana.
 
Haka kathread kamekaa kimbeambea ndo maana sijatajwa....

Ngoja niendelee kupiga ugimbi huku kaunta ya juu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mimi nimekutaja Babu
 
Back
Top Bottom