Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Huyu joka jeusi kwa kuvunja tuu mbavu zangu.
Nyani Ngabu nikisoma comment zake huwa nafurahi sana na kingereza chake sijui cha kiyahudi kile kigumu sana.
cute b na sumbai my best couple na hii ya mahondaw na smart
Wambea wenzangu sasa wotee mliostaafu na mnaoendelea kulisongesha,
rubii
Maserati
Shunie
Raynavero
Mama Sabrina
@demmis
Na wengine wengi.


Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Mungu azidi kututunza siku hizi umezeeka nakupenda mm
 
Kila siku nawaandika leo ngoja niwe tofauti NAWAKUBALI WOTE MNAOPENDA COMMENTS ZANGU NA KUNIRUSHIA MUAMALA IMEBIDI NIWE NA NO SPECIAL KWA AJILI HIYO, nakukubali wewe uliyenipa bonge la deal humu yaani navimba balaa aaa mnanifanya nkiandika comments niwe natumia hata kaubongo kiduchu.
Namkubali baba la baba kwa kunifanyia bonge la party nyota 5 hotel.

Mbarikiwe
Umenipa idea. Wacha nifungue line ya muamala na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Mungu azidi kututunza siku hizi umezeeka nakupenda mm
Sijazeeka . si unajua Mimi ni wa matukio MABWAKU BWAKU tuu.

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
 
😀😀😀😀😀😀😀
Ndugu yangu uliye ji list ID zako zoote hapo nakukubali sana.
 
Back
Top Bottom