Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] kupotea week tu umenimiss nakupenda Madame s Mungu akutunze
Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,

Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza

Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu

Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana

steve mollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho

Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo

mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah

Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu

Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu

Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, Khantwe i miss you,

sumbai yo the best!!

Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] kupotea week tu umenimiss nakupenda Madame s Mungu akutunze
Aaamin, atutunze wote pia, we acha tu naona tangu ban zikufululize huku unetukimbia kabisa unaingia kwa kuibia
 
Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,
unywe maji sasa bebe umerap sana

we appreciate you guys
 
Waliotajwa hapa ni wale wanaolala chitchat na kuamkia Mmu
Kweli nimeamini wambea wanajuana
 
Wow!! Mekua number one kwenye list ako honey

Thank you laazizi, nikianza kusema navutiwa na kipi kwako nitaandika pages na nisimaliza mambo yote yanayonipendeza kwako

Kikubwa,nakushukuru kwa muda wako, uaminifu wako na upendo wako kwa unayonifanyia, unanifanya nijione complete, Archduke nakupenda sanaa
piga kazi
Kwa vikwazo ninavyokumbana navyo lazima niwe mvumilivu sana
 
Back
Top Bottom