Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeanza kuniharibia
Utamshindwa ana masharti mengi sana!.. Mpaka katulia kwangu, nimeteseka nae sana!.. Trust me
 
Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,

Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza

Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu

Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana

SteveMollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho

Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo

mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah

Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu

Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu

Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,

sumbai yo the best!!


Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
Nashukuru sana Madame S. Sitaacha kuandika mfurahi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mimi nimekutaja Babu
Weka picha.

We jamaa mjanja sana. Umetaja wachuchu tu. Hili limekuongezea sifa za kuchukua uongozi wa chama nitakapostaafu
 
**Ladies

Madam B ....I adore this woman jomonii! She's truly honest hadi raha, and she don't fu.k care! That's why I love her!

Simara my shostie akili mia mia!

@Lara1 kubwa la maadui namkubali kinomazzz!

Raynavero hekima, busara, na utu ...love u! Keep t up shost!

**For gentleman

JOHNSON My sweetheart .....real man careness, humble, smart, charming, ur my one n only! Love ya!

Joowzey a best friend of mine ( haukaukagi pm kunipa hi[emoji23] [emoji23] [emoji23] japo sometime sijibu, but ur in my heart as a friend!

Ushimen! Oooh lord niseme nini kwa huyu mtu aniongezeaye siku za kuishi humu duniani, haboi always charming! God bless u!

mng'ato unanipaga raha tukianza kubishania ndingas![emoji23] [emoji23]










Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga.

Ulimwengu wa kambumbu uliwahi kumshudia binadamu Maradona njisi alivyo wachachafya wapinzani wake,Kiranga ni black Maradona anaumahiri,ujuzi wa hali ya Juu katika ulimwengu wa Matumizi ya Ubongo.

1.KUJIAMINI-Confidence)
Uwasilishaji wa hoja zake inaonyesha njisi anavyojiamini na kile anachokiwakilisha na kukitetea,kusamamia kile kilicho sahihi haijalishi kitawakwaza wengi wao.

Natoa- Grade A.

2. MAARIFA &UJUZI.
Ukipitia hoja zake nyingi na mabandiko yake kama unautumia ubongo vyema utang'amua kuwa jamaa anawingi sana wa Madini kichwani na hana choyo kutoa kwa wenye uhitaji japo yeye anaweza ona kuwa ana uchache.

Natoa- Grade A.

3.UMAHIRI WA LUGHA:
Katika ujuvi wa lugha za kiswahili na Kiingereza kama zitumikavyo na waliowengi jamvini hapa,

Jamaa yupo vizuri kuanzia wingi wa misamiati ya lugha,Uandishi fasaha na kuchezea maneno kama Mwandishi wa Kamusi vile.

Natoa grade A.

Heshima kwako ulipo bwana kiranga,Unauwezo wa hali ya Juu.Napata kujifunza mambo mengi kupitia michango yako hapa Jamvini.

Kiranga Mzee wa "Singularity",The Milkway G.

Nikki mbishi " Mungu ni Neno kwangu mimi ni kama weakness ya genesis"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
espy akiandika mada huwa nakaa pembeni kisha nasoma tu
sitaki kuchangia maana nitahamisha mada
huu ni upendo wa ajabu

sijawahi kupenda hivi
ukiona nimempenda mtu upendo wazaidi ya espy naombeni mniue
 
Back
Top Bottom