Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Nakuaminia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuaminia
Hahah unakwamishwaje sasaLazima nipige kazi kwa vyovyote vile ili nipate cha kuingiza kooni.
Lakini mtindo wa kunikwamisha hamnitakii mema kabisa
Haya bwanaaakuna vitu zingine si za kusema unakaa nazo kwa moyo au kwa kichwa tyuuu unajichekea tyuuu kimoyomoyo
[emoji6]
Nashukuru mkuu.>>Kwako Mshana Jr kubwa la maadui wengi wanakuangalia kwa uso wa nje tu, ila hawajagundua wewe ni kati ya wale jamaa wnye IQ ya 100+.
CHIEF MKWAWA, we jamaa wewe kwanza huna majidai linapokuja swala la kumsaidia mtu kwenye lile jukwaa letu la teknolojia pili umekuwa mwana mtiifu kule Old Trafford regardless ya madhila yote yanayoendelea pale.
espy acha nikuite dada tu, mbishi ila smart and humble
Mzigua90 mkuu sijui nikuweke kundi gani ila yote tisa kumi I salute yah! [emoji123]
cute b hold on and keep believing in good things, in a year or two...Touch[emoji367][emoji366]
Charity dada mwingine shupavu... Endeleza mapambano[emoji111]
@Smart91 na @mahondow couple yangu ya kibabe, naifananisha na mashua inapambana na dhoruba kali ktk ya bahari
>>>Wengine wengi nimeshindwa kuwatag ila still nawakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven sent hekma zake
Nifah she is my girl
Dinazarde my binamu toka enzii
Shunie my friend nje ndani
Mzigua nampenda she is beuty with brain
Sky eclat nampenda,nalendwa pia!hawa wamama acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
I love my husband G
Raynavero
Phoenix
Wick
Humble African
Mbao za Mawe
Daudi Mchambuzi
ONTARIO
Mhadzabe
Jimmie gatsby
Nalendwa
Da Rebecca
mkwepakodi
Demiss
Mshanajr
Iceman 3D
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana dada tumekaribiaThanks Babes.
I appreciate you.
Karibuni sana.
Thank you 4G LTE>>Kwako Mshana Jr kubwa la maadui wengi wanakuangalia kwa uso wa nje tu, ila hawajagundua wewe ni kati ya wale jamaa wnye IQ ya 100+.
CHIEF MKWAWA, we jamaa wewe kwanza huna majidai linapokuja swala la kumsaidia mtu kwenye lile jukwaa letu la teknolojia pili umekuwa mwana mtiifu kule Old Trafford regardless ya madhila yote yanayoendelea pale.
espy acha nikuite dada tu, mbishi ila smart and humble
Mzigua90 mkuu sijui nikuweke kundi gani ila yote tisa kumi I salute yah! [emoji123]
cute b hold on and keep believing in good things, in a year or two...Touch[emoji367][emoji366]
Charity dada mwingine shupavu... Endeleza mapambano[emoji111]
Smart911 na mahondaw couple yangu ya kibabe, naifananisha na mashua inapambana na dhoruba kali ktk ya bahari
>>>Wengine wengi nimeshindwa kuwatag ila still nawakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu muhimu sana hao naongeza hawa kisandu Junior, jord polaKuna The List, HR 666, Beira Boy, Deo Kisandu, Padri Mcharo na CCNP Engineer.
Aweeee!!kingereza tu sasa Mimi hoii!!yaani kua naibaga maneno mengi kwako aiseehh!!Tanks mamie!
Una special place in here kwa ku kuchangamsha ukumbi kila uchwao. Can't imagine this place without you. [emoji16]
You're well Appreciated dear!
Bebe love u mzee wa matukio maalumHuyu joka_jeusi kwa kuvunja tuu mbavu zangu.
Nyani Ngabu nikisoma comment zake huwa nafurahi sana na kingereza chake sijui cha kiyahudi kile kigumu sana.
cute b na sumbai my best couple na hii ya mahondaw na smart
Wambea wenzangu sasa wotee mliostaafu na mnaoendelea kulisongesha,
rubii
Maserati
Shunie
Raynavero
Mama Sabrina
Demiss
Na wengine wengi.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Hahahaha dah!Naona waliotajwa wengi ni wapenda ubuyu tu na asilimia ndogo sana wachangiaji wa maana
Acha niendelee kusoma comments
Sent from my SM using Tapatalk
Nimeipenda hii staili yako ya utongozaji.
lol. Mbona sad face.ahsante sana😕
MambooNimeipenda hii staili yako ya utongozaji.
Ukifanikiwa nistue ili nami nii-apply.
Naahidi kukusajili katika chama baada ya kumtumbua Daby