Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

>>Kwako Mshana Jr kubwa la maadui wengi wanakuangalia kwa uso wa nje tu, ila hawajagundua wewe ni kati ya wale jamaa wnye IQ ya 100+.
CHIEF MKWAWA, we jamaa wewe kwanza huna majidai linapokuja swala la kumsaidia mtu kwenye lile jukwaa letu la teknolojia pili umekuwa mwana mtiifu kule Old Trafford regardless ya madhila yote yanayoendelea pale.
espy acha nikuite dada tu, mbishi ila smart and humble
Mzigua90 mkuu sijui nikuweke kundi gani ila yote tisa kumi I salute yah! [emoji123]
cute b hold on and keep believing in good things, in a year or two...Touch[emoji367][emoji366]
Charity dada mwingine shupavu... Endeleza mapambano[emoji111]
Smart911 na mahondaw couple yangu ya kibabe, naifananisha na mashua inapambana na dhoruba kali ktk ya bahari
>>>Wengine wengi nimeshindwa kuwatag ila still nawakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Smart91 na @mahondow couple yangu ya kibabe, naifananisha na mashua inapambana na dhoruba kali ktk ya bahari
>>>Wengine wengi nimeshindwa kuwatag ila still nawakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heaven sent hekma zake

Nifah she is my girl

Dinazarde my binamu toka enzii

Shunie my friend nje ndani
Mzigua nampenda she is beuty with brain
Sky eclat nampenda,nalendwa pia!hawa wamama acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tanks mamie!
Una special place in here kwa ku kuchangamsha ukumbi kila uchwao. Can't imagine this place without you. 😁

You're well Appreciated dear!
 
Humble African ila ananisikitisha na matusi anayoporomosha kwenye Uzi wetu pendwa wa kubet! Harafu kule kabadilisha ID na jinsia anajiita wa kike watu tunamchora tu.
 
>>Kwako Mshana Jr kubwa la maadui wengi wanakuangalia kwa uso wa nje tu, ila hawajagundua wewe ni kati ya wale jamaa wnye IQ ya 100+.
CHIEF MKWAWA, we jamaa wewe kwanza huna majidai linapokuja swala la kumsaidia mtu kwenye lile jukwaa letu la teknolojia pili umekuwa mwana mtiifu kule Old Trafford regardless ya madhila yote yanayoendelea pale.
espy acha nikuite dada tu, mbishi ila smart and humble
Mzigua90 mkuu sijui nikuweke kundi gani ila yote tisa kumi I salute yah! [emoji123]
cute b hold on and keep believing in good things, in a year or two...Touch[emoji367][emoji366]
Charity dada mwingine shupavu... Endeleza mapambano[emoji111]
Smart911 na mahondaw couple yangu ya kibabe, naifananisha na mashua inapambana na dhoruba kali ktk ya bahari
>>>Wengine wengi nimeshindwa kuwatag ila still nawakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you 4G LTE
Your friendship is a special gift. happly accepted, and deeply appreciated!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanks mamie!
Una special place in here kwa ku kuchangamsha ukumbi kila uchwao. Can't imagine this place without you. [emoji16]

You're well Appreciated dear!
Aweeee!!kingereza tu sasa Mimi hoii!!yaani kua naibaga maneno mengi kwako aiseehh!!

Yaani natamani kujua kama cha kwako vilee[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Nakupenda sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
espy akiandika mada huwa nakaa pembeni kisha nasoma tu
sitaki kuchangia maana nitahamisha mada
huu ni upendo wa ajabu

sijawahi kupenda hivi
ukiona nimempenda mtu upendo wazaidi ya espy naombeni mniue
Nimeipenda hii staili yako ya utongozaji.

Ukifanikiwa nistue ili nami nii-apply.

Naahidi kukusajili katika chama baada ya kumtumbua Daby
 
Back
Top Bottom