Isije kuwa wenzetu wamechukuliwa na uviko.Waache wapumzike
Kwa wahenga wa JF hawata jiuliza maswali mengi wakusikia hayamajina.
Chabruma, Lizaboni, Mcubic, Msalan.
Hawa watu walikuwa ni wapiganaji wa kweli wa CCM, ukimuondoa Mcubic ambaye alikuwa upande wa upinzani.
Ni muda mrefu sasa hatuwaoni jamvini hivyo basi naomba mwenye habari zao tujulishane jamani.
Sina zaidi ya hayo wana familia wa JF.
Sio lifeban tu ila mpaka kunyongwaHivi jf kuna lifeban
Ipo na wengi washapigwa mfano mzuri ni Kigogo2014Hivi jf kuna lifeban
Kwani kigogo aliwahi kuwa mwana jf?Ipo na wengi washapigwa mfano mzuri ni Kigogo2020
Kwa wahenga wa JF hawata jiuliza maswali mengi wakusikia hayamajina.
Chabruma, Lizaboni, Mcubic, Msalan.
Hawa watu walikuwa ni wapiganaji wa kweli wa CCM, ukimuondoa Mcubic ambaye alikuwa upande wa upinzani.
Ni muda mrefu sasa hatuwaoni jamvini hivyo basi naomba mwenye habari zao tujulishane jamani.
Sina zaidi ya hayo wana familia wa JF.
NdioKwani kigogo aliwahi kuwa mwana jf?