JF members hawa wako wapi? Tunakosa michango yao

Kwa wahenga wa JF hawata jiuliza maswali mengi wakusikia hayamajina.

Chabruma, Lizaboni, Mcubic, Msalan.
Hawa watu walikuwa ni wapiganaji wa kweli wa CCM, ukimuondoa Mcubic ambaye alikuwa upande wa upinzani.

Ni muda mrefu sasa hatuwaoni jamvini hivyo basi naomba mwenye habari zao tujulishane jamani.

Sina zaidi ya hayo wana familia wa JF.

Wamesha lamba shavu
 
Msalani bila shaka atakuwa msalani 😂😂😂

Back
Top Bottom