JF members tunafahamiana?

King Julian... Siyo muongo sema ni mjanja sana... anapenda kumuonea morris... yule Bush baby...
Sio muongo?? Wewe jamaa humjui vizuri king J .. Unakumbuka yale maji yalivyokuja kule mugani nani aliyaleta? King Juliet si aliwadanganya kuwa kayaleta yeye!?
Mambo mengi wale penguin kina skipper walikuwa wanayafanya afu king J anasema kuwa yeye ndio kafanya..
Karudie tena kumcheki....
 
Namtetea King J ni shujaa... ni wivu wa penguins too... kwanza anapepewa na kusuguliwa miguu... penguin Edward ndiyo anamzingua...
 
Hata me wa uswazi wewe. Kwani umeshahama mabibo au?
Hata yaje mafuriko haturudi kijijini...nimeamini unazijua post zangu haswa ndo maana umekumbuka natokea Mabibo City pande za uswaz
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hata yaje mafuriko haturudi kijijini...nimeamini unazijua post zangu haswa ndo maana umekumbuka natokea Mabibo City pande za uswaz
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakumbuka kuna Uzi Fulani ulikuwa unahusu mabibo. Wewe mshana jr na rubii ni wa mabibo
 
mm nawafahamu wadada wapo kama sita na wote promis zao zilikuwa sinza, niliwapata kwa id tofauttofaut!
ila kwa sasa wapo makin xna na id mpya mpya.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakumbuka kuna Uzi Fulani ulikuwa unahusu mabibo. Wewe mshana jr na rubii ni wa mabibo
Ni kweli...Mabibo City tunatisha km njaa hapa JF...pale Mzee wa uchawi Mshana...kule mlimbwende rubii...halafu kuna sharobaro Bitoz n.k
lazima ukae......[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kama nitataka kufahamiana na yeyote humu JF basi labda wale wa jukwaa na kimataifa, jukwaa la wakenya na jukwaa la great thinkers.. Ila kenge yeyote wa haya majukwaa ya chini sitaki mazoea nao.. Kenge wakubwa
Heheheheheeee hata sisi hatutaki kufahamiana na wewe kenge mwenzetu.
 
Ni kweli...Mabibo City tunatisha km njaa hapa JF...pale Mzee wa uchawi Mshana...kule mlimbwende rubii...halafu kuna sharobaro Bitoz n.k
lazima ukae......[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa ni mda wa kuhamia uzunguzi Bitoz. Mwambie mshana jr na rubii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…