Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Sio muongo?? Wewe jamaa humjui vizuri king J .. Unakumbuka yale maji yalivyokuja kule mugani nani aliyaleta? King Juliet si aliwadanganya kuwa kayaleta yeye!?King Julian... Siyo muongo sema ni mjanja sana... anapenda kumuonea morris... yule Bush baby...
Mambo mengi wale penguin kina skipper walikuwa wanayafanya afu king J anasema kuwa yeye ndio kafanya..
Karudie tena kumcheki....