Ndiomaana wengine tunamiliki 2 I'dWengine ukiwafahamu kazi yao ishakuwa haipo,hujui hili jukwaa ni zaidi ya magazeti ya ufukunyuzi...a lot gets unveiled through jf even jpm gets to know where are the most notorious boils huko gavarnmenti
katika watu ambao hawaamini katika kushindwa ni mimi.. Lakini hata kukuona tu kwa umbo sura na macho ni moja ya kufahamiana.... Nasikia shemeji yenu Idriss kahamia kwa x wa kiba?Hahahahaaa pole sana,maana hutofanikiwa asilani!
hivi zile hadithi zako zimeishia wapi UshiboyNdiomaana wengine tunamiliki 2 I'd
Ha ha ha haaa... Wote ninaowafahamu Ni watu niliosoma nao, and most of them wametumia majina Yao ya utani thus why ilikua rahisi kuwajua! Nikiwafuata PM unakuta Ni Kweli. Pia njia nyingine waulize washkaji Zako unaofahamiana Nao Kama wako JF n wanatumia majina gani, utawapata tu... Haya wengine tunajuanaga kupitia biznes mbali mbali wanazotangaza humu mkikutana Ndio mshafahamiana.Mkuu....
Ebu nisaidie kuwafaham aiseeee...
maana misijafanikiwa kumfaham hata member mmoja humu jf[emoji17] [emoji17]
Ni kweli kabisa mkuuYou see....[emoji12] [emoji12]
Huku ndiko kufahamiana sasa
vipi imekugusa nn?
safi,mambo vipi lkn
safi ,mishe zinaendaje huko uliko
Fresh
Huku ndio kuhamiana haswaa.....[emoji2]poa,karibu
Ha haaa kwenda ukoHuku ndio kuhamiana haswaa.....[emoji2]
Maana hata mtiririko umekua sawi haswa...[emoji12]
Sasa hamieni PM
Anhaaaa...[emoji15]Ha ha ha haaa... Wote ninaowafahamu Ni watu niliosoma nao, and most of them wametumia majina Yao ya utani thus why ilikua rahisi kuwajua! Nikiwafuata PM unakuta Ni Kweli. Pia njia nyingine waulize washkaji Zako unaofahamiana Nao Kama wako JF n wanatumia majina gani, utawapata tu... Haya wengine tunajuanaga kupitia biznes mbali mbali wanazotangaza humu mkikutana Ndio mshafahamiana.
Hiyo ngumu, tukifahamiana tutashindwa kuambiana ukweli. Tuendelee kubakia anonymous with our dubious avatarHata mimi nahitaji kuwafahamu jf member katika eneo nililopo, sijawahi kumuona wala kukutana na member yeyote wa jf.
Digisufigisu eehhh.....[emoji12]Ha haaa kwenda uko
Bora ukimbie na usirudiDigisufigisu eehhh.....[emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Haahahaaaa........Hiyo ngumu, tukifahamiana tutashindwa kuambiana ukweli. Tuendelee kubakia anonymous with our dubious avatar
Ha-ha!! Tatizo ni pale unapofika halafu unajikuta ww pekee yako ndiyo una umri mdogo kuliko wengine wote halafu unapewa nafasi ya kuongea!!Acha tu ushamba mzigo mkuu wangu
Nakumbuka siku ya1 kupewa appointment kufika kwenye kikao cha JF members kwanza nikawa na kimuhemuhe,siku hiyo nikaona kama muda haufiki vile
Halafu nikawa najuaga hawa JF wanaishi sayari gani sijui,siku hiyo ilipokaribia mida nikawa kila mara natupia macho eneo la tukio bahati nzuri ni jirani na home. Kila anae ingia najiuliza ndo mmojawapo nini nikawa nabishana na mawazo yangu
Kwanini mkuu, tunafahamiana baadhi na zaidi ya yote wengine tumefaidi matunda ya jf kwani tumekutanishwa na marafiki wazuri tuInawezekana baadhi ya wana JF wanafahamiana katika uhalisia?
Ha haaa ni shigidah!Ha-ha!! Tatizo ni pale unapofika halafu unajikuta ww pekee yako ndiyo una umri mdogo kuliko wengine wote halafu unapewa nafasi ya kuongea!!
Mkuu hizo ndevu zako ni heshima tosha, hakuna haja ya kuogopa kuonana coz watanzania wa jf ni wale wale wa kitaa tuEverytime he opens his mouth most of what comes out of his mouth is not worthy it. Nadhani kwa maneno yake tunaweza kujionea wenyewe, sasa sijui huko kwenye ofisi ya PM watu anaofanya nao kazi wanajisikia vipi. Nadhani watanzania tutachekwa, watu wanaweza kuuliza hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa PM Tanzania, watu tnaweza hata kuulizwa wasomi wa Tanzania wameenda wapi?
mambo bestHa haaa kwenda uko
hahahahahaWatu wengi huku wanamjua Le Mutuz tu!!