JF members tunafahamiana?

JF members tunafahamiana?

Wengine ukiwafahamu kazi yao ishakuwa haipo,hujui hili jukwaa ni zaidi ya magazeti ya ufukunyuzi...a lot gets unveiled through jf even jpm gets to know where are the most notorious boils huko gavarnmenti
Ndiomaana wengine tunamiliki 2 I'd
 
Hahahahaaa pole sana,maana hutofanikiwa asilani!
katika watu ambao hawaamini katika kushindwa ni mimi.. Lakini hata kukuona tu kwa umbo sura na macho ni moja ya kufahamiana.... Nasikia shemeji yenu Idriss kahamia kwa x wa kiba?
 
Mkuu....
Ebu nisaidie kuwafaham aiseeee...
maana misijafanikiwa kumfaham hata member mmoja humu jf[emoji17] [emoji17]
Ha ha ha haaa... Wote ninaowafahamu Ni watu niliosoma nao, and most of them wametumia majina Yao ya utani thus why ilikua rahisi kuwajua! Nikiwafuata PM unakuta Ni Kweli. Pia njia nyingine waulize washkaji Zako unaofahamiana Nao Kama wako JF n wanatumia majina gani, utawapata tu... Haya wengine tunajuanaga kupitia biznes mbali mbali wanazotangaza humu mkikutana Ndio mshafahamiana.
 
Tuko wengine tunafahamiana, wengine ni hisia! Kutokana na kusoma comment zake unahisi huyu anaweza kuwa fulani?
 
Ha ha ha haaa... Wote ninaowafahamu Ni watu niliosoma nao, and most of them wametumia majina Yao ya utani thus why ilikua rahisi kuwajua! Nikiwafuata PM unakuta Ni Kweli. Pia njia nyingine waulize washkaji Zako unaofahamiana Nao Kama wako JF n wanatumia majina gani, utawapata tu... Haya wengine tunajuanaga kupitia biznes mbali mbali wanazotangaza humu mkikutana Ndio mshafahamiana.
Anhaaaa...[emoji15]
Basi sawa
 
Hata mimi nahitaji kuwafahamu jf member katika eneo nililopo, sijawahi kumuona wala kukutana na member yeyote wa jf.
Hiyo ngumu, tukifahamiana tutashindwa kuambiana ukweli. Tuendelee kubakia anonymous with our dubious avatar
 
Sisi wa Uswaz tukifahamiana na MTU hatumwonyeshi gheto ng'o .....tusije chekwa bure ...sakafu ina mashimo..choo passport size..sebule full vistuli...dari linavuja...mvua ikinyesha kitaa hakipitiki
*** Bora tusifahamiane tu***
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Acha tu ushamba mzigo mkuu wangu

Nakumbuka siku ya1 kupewa appointment kufika kwenye kikao cha JF members kwanza nikawa na kimuhemuhe,siku hiyo nikaona kama muda haufiki vile

Halafu nikawa najuaga hawa JF wanaishi sayari gani sijui,siku hiyo ilipokaribia mida nikawa kila mara natupia macho eneo la tukio bahati nzuri ni jirani na home. Kila anae ingia najiuliza ndo mmojawapo nini nikawa nabishana na mawazo yangu
Ha-ha!! Tatizo ni pale unapofika halafu unajikuta ww pekee yako ndiyo una umri mdogo kuliko wengine wote halafu unapewa nafasi ya kuongea!!
 
Inawezekana baadhi ya wana JF wanafahamiana katika uhalisia?
Kwanini mkuu, tunafahamiana baadhi na zaidi ya yote wengine tumefaidi matunda ya jf kwani tumekutanishwa na marafiki wazuri tu
 
Everytime he opens his mouth most of what comes out of his mouth is not worthy it. Nadhani kwa maneno yake tunaweza kujionea wenyewe, sasa sijui huko kwenye ofisi ya PM watu anaofanya nao kazi wanajisikia vipi. Nadhani watanzania tutachekwa, watu wanaweza kuuliza hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa PM Tanzania, watu tnaweza hata kuulizwa wasomi wa Tanzania wameenda wapi?
Mkuu hizo ndevu zako ni heshima tosha, hakuna haja ya kuogopa kuonana coz watanzania wa jf ni wale wale wa kitaa tu
 
Back
Top Bottom