JF members tunafahamiana?

JF members tunafahamiana?

Tunafahamiana kweli wala sipingi.

Nimeshapigiwa simu mara kadhaa na washikaji/watu tunaofahamiana, kuotokana na baadhi ya mambo binafsi ninayochangia/niliyoyachangia.

Lakini poa, hakuna tatizo
 
Back
Top Bottom