Jf members wa Dar vs Wamikoani

Jf members wa Dar vs Wamikoani

Alphaking2023

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,092
Reaction score
2,123
Naandika tabia nilizoziona humu kwa members wa Jf ambao ni wakazi wa Dar na ambao ni wakazi wa mikoa mingine tofauti na Dar
. Members wa Dar
1. Wanawadharau sana wale wamikoani
2. Wanaamini dar ndo kila kitu
3. Huwa wanadhani Jf ni ya wakazi wa dar tu
4. Wanaamini members wa mikoani ni washamba sana kuliko wao

Members wa mikoani
1. Wanaamini wanaume wa dar ni wazembe sana hawawezi kufanya kazi ngumu
2. Wanaamini asilimia kubwa ya wasichana wa dar ni body-seller
3. Wanaamini asilimia kubwa ya wanaume wa dar hawana nguvu za kiume hadi waji-boost na pweza+viagra
4. Wanaamini dar ni sehemu ya wahuni kiasi kwamba ukiingia unapaswa kuingia na akili tabia utazikuta hukohuko

Hii ni battle kila mtu anavutia kwake ila sio mbaya tukiambiana ukweli ongeza tabia ambazo unaona members wa dar au wa mikoani wanazo mwisho tutapiga kura nani kazidi kwa tabia za hovyo
 
Wanaume wa Dar wanaongoza kuwa na makalio makubwa.. Wanawazidi wake zao
 
umenena ukweli Live and Direct bila chenga madogo wa huko ni walaini mbaya hawa pooling ya kupasua papuchi tunawasaidiaga kinyama.
 
wanaume wa mikoani wanawaza ngono tuu,mimba za utotoni,wanakunywa sumu kisa mapenzi,wanachomana visu na dispisi kisa mwanaume au mwanamke, wanatumia nguvu nyingi kuliko akili na kisha hupata maitaji ya kula tuu,imani za kishirikina kuamini sana uchawi na uganga kuliko hospitali, ni watu wa kutawaliwa kifikra! hasila za kijinga na kujifanya wababe kumbe ujinga mwingi kichwani!
 
Hahahahhh, mkuu umetisha
Naona kama kuna ka ukweli hivi
 
Itabidi kuhakiki vyeti na ufahamu kabla ya MTU kujisajiri JF.Unless una Kitu cha kufikirika,mengine yanahitajika tafiti kàbla ya Kubonyeza keyboard.
Tungeuliza sample size ya watu Wangapi?
PI alikuwa nami
Main objective ilikuwa nini?
Haya ndiyo yalinifanya nijiondoe group la High school,baada ya Kujua watu Wabarikiwe kana kwamba ni Miaka ya 90s,wakati ndani ya group kuna watu Wana familia,wana shahada za Uzamili na uzamivu.
Back to the point,wanaume wa Dar,wengi wametoka upcountry,wachache Sana wa Kuzaliwa Dar.Pili wapo ambao wamesoma na Kufanya Kazi Dar,kisha wakaenda mikoani.Kwa hiyo JF tuna homogeneous mixture,kwa wale wanaokumbuka Biolojia.Yaani watu wapo kwenye movement...
 
Back
Top Bottom